vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
- Thread starter
- #41
Mnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochoteTakwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.
Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.
Sent using Jamii Forums mobile app