Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Sasa wewe ulitaka kilo iwe sh ngapi?, Tunaposema njaa chakula hamna hata ukiwa na pesa ndio kiliokuwepo Kenya chakula kwao hamna wanakuja kununua TANZANIA Sasa wewe unalalamika unga kilo 1600 lakin c upo ulitaka uziwe sh 500 kilo?.tunachozungumzia hapa mfano hata TZ itawekewa vikwazo isinunue chakula nje haitoathirika na vikwazo hivyo kwasababu wenyewe wazalishaji kiac mpaka tunauza nje tofauti na Kenya inategemea inunue chakula kutoka nje au toka korona imeanza ushawai sikia mtanzania kakamatwa anavuka njia za panya kwenda Kenya kununua chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtanzania asili kabisa damu ya kinyamwezi sikonge huko tabora,siwezi kujitapa uongo kama mnavyojitapa nyie kwa majirani zetu waliotuzidi kila kitu mpka usmart kichwani,ndo mnavyodanganya wenzetu tz hakuna njaa wakati unga tu wa ugali sembe kilo tunanunu mpka tsh1600-700 saivi kdg ndio umefikia 1400 njaa ipo tena wavivu wa kilimo kwa cc raia wa ndani kilimo kikubwa kinafanywa na wawekezaji huo ndio ukweli ukiona nakukera mkuu unaweza kujknyonga kamba nitakupatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app