Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Sasa wewe ulitaka kilo iwe sh ngapi?, Tunaposema njaa chakula hamna hata ukiwa na pesa ndio kiliokuwepo Kenya chakula kwao hamna wanakuja kununua TANZANIA Sasa wewe unalalamika unga kilo 1600 lakin c upo ulitaka uziwe sh 500 kilo?.tunachozungumzia hapa mfano hata TZ itawekewa vikwazo isinunue chakula nje haitoathirika na vikwazo hivyo kwasababu wenyewe wazalishaji kiac mpaka tunauza nje tofauti na Kenya inategemea inunue chakula kutoka nje au toka korona imeanza ushawai sikia mtanzania kakamatwa anavuka njia za panya kwenda Kenya kununua chakula?
Mimi ni mtanzania asili kabisa damu ya kinyamwezi sikonge huko tabora,siwezi kujitapa uongo kama mnavyojitapa nyie kwa majirani zetu waliotuzidi kila kitu mpka usmart kichwani,ndo mnavyodanganya wenzetu tz hakuna njaa wakati unga tu wa ugali sembe kilo tunanunu mpka tsh1600-700 saivi kdg ndio umefikia 1400 njaa ipo tena wavivu wa kilimo kwa cc raia wa ndani kilimo kikubwa kinafanywa na wawekezaji huo ndio ukweli ukiona nakukera mkuu unaweza kujknyonga kamba nitakupatia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruvuma region expects to harvest 30 tonnes of simsim, pigeon peas
ippmedia.com/en/business/ruvuma-region-expects-harvest-30-tonnes-simsim-pigeon-peas

April 27, 2020
ippmedia.png

27Apr 2020
Correspondent
Songea
Business
The Guardian
Ruvuma region expects to harvest 30 tonnes of simsim, pigeon peas

RUVUMA region anticipates to harvest 30 tonnes of simsim and pigeon peas in the current crops season, according to its Regional Commissioner Christina Mndeme.

simsim1%20ed.jpg




The RC announed at the weekend when she was officially launching the region’s crops auction using ‘Warehouse receipts’ system for the 2019/20 season.
The launching was held at her office in Songea before a few newsmen as a precaution measure against Covid-19 infections.
She said the expectations for the season is to collect and sell more than 12 tons of simsim and soya, 17,711 tonnes of pigeon peas and that the auctions will take place at three centres – Songea, Namtumbo and Tunduru.
However, she said this year’s auctions will involve few people who will be representing farmers and buyers to avoid huge gatherings as a preventive measure against covid-19 infections, as directed by health experts.
Speaking on achievements attained during the last season, she said farmers incomes went up due to good sales.
She said during the season, 8,424,268 tonnes of simsim was sold at an average of 2,959/- per kg that injected more than 24bn/- to farmers.
“During the same period 2,858,383 kgs of soya was also sold at an average price of 750/- per kg earning farmers thereof 2,143,787,250/- via Songea and Namtumbo auctions.
In regard to pigeon peas, the RC said 773,543 kgs was sold at an average price of 700/- per kg earning farmers more than 541m/-.
 
Njaa hakuna Tanzania, hizo ni picha za wanafunzi shule za kata, wapo foleni kupata lunch.
Chakula kimejaa tangu mwaka jana.
Kwa taarifa yako Kenya mnanunua chakula kwetu.
Japo hatuwezi kuwa na chakula kila mmoja Tanzania nzima lakini kama nchi hatuna njaa mwaka huu mvua zimenyesha sana...mikoa ya Manyara, Singida, Dodoma, Shinyanga hadi Tabora wamekaribia kuvuna.
Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha hawa wamevuna mara mbili kwa mwaka, wamevuna Januari hadi Februari na wamepanda kuanzia Februari mwishoni na sasa mazao yako poa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo mnapenda kutumia nguvu nyingi kuficha matatizo yenu, mtaandika insha nyingi humu japo hazibadilishi ukweli, ndio athari za ujamaa.
 
Wakenya na wazungu wao wanachekesha sana. Ngoja tuamue kufunga boda wiki tu ndo utajua kama ni wapi kuna jaa. ...Kenya ama Tanzania.

Nyie Ardhi yote ya maana mmelima maparachichi, chai na maua. Wazungu hawataki hiyo sasa, vyote vinawaozea.

Sasa tukifunga boda tuone kama mtakula hayo maua yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ulishawahi sikia watanzania wamevuka boda njia za panya kufata chakula kenya
Wakenya na wazungu wao wanachekesha sana. Ngoja tuamue kufunga boda wiki tu ndo utajua kama ni wapi kuna jaa. ...Kenya ama Tanzania.

Nyie Ardhi yote ya maana mmelima maparachichi, chai na maua. Wazungu hawataki hiyo sasa, vyote vinawaozea.

Sasa tukifunga boda tuone kama mtakula hayo maua yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtz anaeongea kiswahili kizur wote tunaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaharibu mtaani lakini cha darasani ni bora kuliko nchi yoyote so tusibishane bila sababu
Kuna slang na matamshi ya kuchanganya herufi lakini hilo ni kutokana na makabila so huwezi kusema eti Kenya Uganda DRC Rwanda Burundi ndio wanajua kiswahili kuliko Tz?!
 
Tunaharibu mtaani lakini cha darasani ni bora kuliko nchi yoyote so tusibishane bila sababu
Kuna slang na matamshi ya kuchanganya herufi lakini hilo ni kutokana na makabila so huwezi kusema eti Kenya Uganda DRC Rwanda Burundi ndio wanajua kiswahili kuliko Tz?!
Ndio wanajua wasingekuwa wanajua usinge waorodhesha kwanini usiwataje wazambia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchele kilo tsh. 1000. Viazi kibao gunia 9000. Mahindi debe 8000.
Hiyo njaa inatoka wap?
 
Back
Top Bottom