Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

nilikwenda kwenye tafrija moja ya wafia dini nilishangaa mtu mzima anakunywa soda 6. Sherehe kama hizi huwa nakwenda na maji yangu "nimeyatakasa" na nyagi kwa level nzuri.
 
Mmoja anachosha figo na kupandisha Sukari-pombe ,mwingine anaamua kupandisha sukari pekee-soda,Zote ni sumu
 
Wanywa pombe wanajitia moyo lakini inadhalilisha sana ! Nimeshuhudia mlevi kaingia chumbani hata zoezi la kubadilisha nguo limemshinda kaishia kuvua tu kuchukua nyingine avae kashindwa kalala uchiiiiii!
Muda mwingine mtu anatoka usiku kujisaidia komeo linamshinda analimwaga kojo mlangoni akijua amefika chooni tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…