Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Andiko hili hapa, sijaona hapa Yakobo akisema kuwa "atakuwa muislam" bali aansema BWANA atakuwa mungu wake.
Mwanzo 28: 20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;
21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.

Yakobo hakuwa na dini, hakuwa muislam, Mkristo wala myahudi, alikuwa anamwamini Mungu (Bwana, Yahwe) tu.
.
 
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Kitabu gani hicho
Uislam umekuja 700 years after Christ
 
Kipindi cha yakobo hakukuwa na vitabu vya dini, hakukuwa na Sheria za dini, hakukuwa na taratibu za kidoni hivyo Yakobo hakuwa na dini, alikuwa anamwamini Mungu tu ( mwanzo 28;20-21).
1.Dini ya kiyahudi imeanzishwa na Musa kupitia torati.
2. Dini ya ukristo imeanzishwa na Yesu kristo kupitia Injili.
3. Dini ya uislam imeanzishwa na Muhamad kupitia Kurani.
Muhamad alikuwa anajaribu kujiungamanisha na manabii wakubwa wa zamani wanaojulikana ili kushawishi waarabu wenzake wamwamini.
 
Kwa sisi wakristo biblia inasema "kwa kinywa cha mashahidi wawili watatu neno huthibitika"
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na watu 40 tofauti walioishi kipindi cha miaka 1,500 tofauti.
Kurani chanzo chake ni maneno ya mtu mmoja tu ( hana shahidi yeyote wa kuthibitisha maneno yake kuwa yanatoka kwa Mungu), tena miaka mingi baada ya baadae baada ya vitabu vya biblia kuandikwa, tena maneno mengi ya hiyo kurani ni ya kumnufaisha huyo mtu.
Mimi sio mjinga kiasi hicho kuamimi maneno ya kurani.
 
Tukumbuke walio mpa utume au cheo cha kuwa nabii bwana mwamedi ni mke wake bi Khadija pamoja na binamu wa mke wake bwana Warakha ( ambaye alikuwa mkatoroki). Mwamedi mwenyewe alikuwa anajua ana mashetani, walimpa utume na unabii ili kumpoza.
Naanzaje kumwamini mtu kama huyo?
 
Acha bange..upuuzi kama huu huwa sisomi
 
Wakristo wanamwamini Mungu Mmoja tu,

Na Jina la Mungu huyo mmoja, anaitwa Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.

Ubarikiwe 🙏
 
Nani alimsilimisha?
 
Uislam ulianzishwa juzi tu hapa na Mwamedi
 
Asie kuwa na dini anaitwaje wewe? wewe huna andiko kuhusu dini ya Yakobo sasa unawezaje kumpinga mwenye andiko au ubishi huko kwenye damu?
 
MUDI
 
Mzee maneno yote hayana uthibitisho udini juu ya dini ya Yakobo, lete andiko uthibitisho kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mbona unazunguka , unalo andiko au huna?
uislam ulianzishwa na mood. kwani mood alikuwepo kabla ya yakobo.
 
uislam ulianzishwa na mood. kwani mood alikuwepo kabla ya yakobo.
Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tu
 
Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tu
sasa ndugu unaposema Yakobo alikuwa muislamu unakuwa unakosea sana.kitabu unachoki refer kilikuja enzi za muhammad na muhammad mwenyewe kabla ya kupokea hiko kitabu alikuwa mpagani iweje yakobo awe muislamu.Au labda uniambie wasilamu wa kale kabla ya kuja kwa qurani walikuwa wanatumia kitabu gani?.Na kama kweli usilamu ulikuwepo kwa nini Allah katika quran aseme waliotangulia kabla yenu..au hata maana ya kabla hauelewi?.Kwanza unaweza kunisaidia hili swali..kabla ya kuja quran Allah alikuwa wapi,maana inaonekana wayahudi na wakristo sio watu wake.
 
Kitabu kuchelewa au kufika mapema sio tatizo, Quran ndio imesema Yakobo alikuwa muislamu sio mimi, sasa basi wewe ukidai kuwa Yakobo alikuwa na dini tofauti unapaswa kuonyesha kwa andiko hiyo dini tofauti sawa na mtoa mada alivyoonyesha Uislamu wa Yakobo, rahisi kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…