Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Netanyahuu akbaaarKwahiyo hili ndio andiko la dini ya Yakobo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Netanyahuu akbaaarKwahiyo hili ndio andiko la dini ya Yakobo?
Andiko hili hapa, sijaona hapa Yakobo akisema kuwa "atakuwa muislam" bali aansema BWANA atakuwa mungu wake.Hakuna aliekataa Israel ndio Yakobo na andiko la kuthibitisha kuwa Israel ndio Yakobo lipo kwenye biblia sasa tuambie Yakobo alikuwa Dini gani katika biblia hiyo hiyo hili mtoa mada awe amesema uongo, bila kutoa andiko unakuwa sawa na wapiga kelele wa vijiweni, mtoa mada katoa andiko nawewe unatakiwa kupangua kwa andiko sio maelezo mengi yasiyo na maana, nafikiri nimetumia lugha nyepesi na umeelewa ninacho taka kwako
Kitabu gani hichoJe! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Acha bange..upuuzi kama huu huwa sisomiWadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Nani alimsilimisha?Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Asie kuwa na dini anaitwaje wewe? wewe huna andiko kuhusu dini ya Yakobo sasa unawezaje kumpinga mwenye andiko au ubishi huko kwenye damu?Andiko hili hapa, sijaona hapa Yakobo akisema kuwa "atakuwa muislam" bali aansema BWANA atakuwa mungu wake.
Mwanzo 28: 20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;
21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.
Yakobo hakuwa na dini, hakuwa muislam, Mkristo wala myahudi, alikuwa anamwamini Mungu (Bwana, Yahwe) tu.
.
Sasa mnawezaje kupinga andiko kwa porojo?Netanyahuu akbaaar
MUDINabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
uislam ulianzishwa na mood. kwani mood alikuwepo kabla ya yakobo.Mzee maneno yote hayana uthibitisho udini juu ya dini ya Yakobo, lete andiko uthibitisho kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mbona unazunguka , unalo andiko au huna?
Ni kazi sanaHalafu kuna mtu anategema Nchi hii ije kupata maendeleo
Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tuuislam ulianzishwa na mood. kwani mood alikuwepo kabla ya yakobo.
sasa ndugu unaposema Yakobo alikuwa muislamu unakuwa unakosea sana.kitabu unachoki refer kilikuja enzi za muhammad na muhammad mwenyewe kabla ya kupokea hiko kitabu alikuwa mpagani iweje yakobo awe muislamu.Au labda uniambie wasilamu wa kale kabla ya kuja kwa qurani walikuwa wanatumia kitabu gani?.Na kama kweli usilamu ulikuwepo kwa nini Allah katika quran aseme waliotangulia kabla yenu..au hata maana ya kabla hauelewi?.Kwanza unaweza kunisaidia hili swali..kabla ya kuja quran Allah alikuwa wapi,maana inaonekana wayahudi na wakristo sio watu wake.Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tu
Kitabu kuchelewa au kufika mapema sio tatizo, Quran ndio imesema Yakobo alikuwa muislamu sio mimi, sasa basi wewe ukidai kuwa Yakobo alikuwa na dini tofauti unapaswa kuonyesha kwa andiko hiyo dini tofauti sawa na mtoa mada alivyoonyesha Uislamu wa Yakobo, rahisi kabisaaasasa ndugu unaposema Yakobo alikuwa muislamu unakuwa unakosea sana.kitabu unachoki refer kilikuja enzi za muhammad na muhammad mwenyewe kabla ya kupokea hiko kitabu alikuwa mpagani iweje yakobo awe muislamu.Au labda uniambie wasilamu wa kale kabla ya kuja kwa qurani walikuwa wanatumia kitabu gani?.Na kama kweli usilamu ulikuwepo kwa nini Allah katika quran aseme waliotangulia kabla yenu..au hata maana ya kabla hauelewi?.Kwanza unaweza kunisaidia hili swali..kabla ya kuja quran Allah alikuwa wapi,maana inaonekana wayahudi na wakristo sio watu wake.