Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

sasa unategemea kitabu kilichokuja juzi kiwe na nguvu kuliko ilivyokuwepo 2500 years kabla yake? quran ni ya juzi tu ndugu, na mood ni wa juzi tu, mwongo mwongo fulani hivi ambaye hata kudanganya alishindwa.
 
Mzee mbona unajibu swali ambalo sijakuuliza? jibu ulicho ulizwa
 
sasa unategemea kitabu kilichokuja juzi kiwe na nguvu kuliko ilivyokuwepo 2500 years kabla yake? quran ni ya juzi tu ndugu, na mood ni wa juzi tu, mwongo mwongo fulani hivi ambaye hata kudanganya alishindwa.
Hapa hatujadili nguvu, wewe ukimpinga mtoa mada lete andiko hapa kuonyesha Dini ya Yakobo , maneno mengi ya nini!!!
 
Hehe watu wa madrasa na mada wapi na wapi.....we nenda kaokote bomu kajilipue
 
Kama alivyo bong’oa Yesu , akilia kichapo kisimfike
Wee apia huyo si alikua musalabani jameni......sie makafiri tunabong'oa wapi ami.......halafu ami naomba tupinge mbong'oko nkikukuta hata masjid unabong'oa nakutandika teke la kalio😀😀😀tucheze basi ami
 
Kule tunakula kilicho iva, wakati wewe unapasua koo kwa makelele
weeee kumbe huko alipo alaa sahivi anajichana rosti la kitimoto mwaego....kwahio mnaswali swala 5 ili muende kwa alaa mkale kitimoto rosti
 
Allah ni Mungu kweli hana longo longo, fanya mema peponi fanya mabaya motoni, hakuna blah blah mara Mungu mwana kapigwa makofi upuuzi mtupu
 
Wee apia huyo si alikua musalabani jameni......sie makafiri tunabong'oa wapi ami.......halafu ami naomba tupinge mbong'oko nkikukuta hata masjid unabong'oa nakutandika teke la kalio😀😀😀tucheze basi ami
Kabla ya kunyooshwa msalabani alibong’oa ili asipelekwe kushughulikiwa na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…