1.Uthman anakuwa Khalifa , tayari Quran Original iko kwa Hafsa mke wa mtume, tayari ilishatumika kwa Abubakari na Omary, ambao hawa wote wamemuona mtume na wameishi nae hakuna alichofuta pale kwenye Quran OG, RUDI kwa hawa waliofuta vitabu 6 ambavyo tayari vilikuwa sehemu ya Biblia tayari narudia walifuta kwa mamlaka gani hawa maana hawakumuona Yesu wala huyo Paulo,yaani mtu analala halafu anaamka anaamua kufuta kitabu cha Mungu kama magazeti ya Shigongo walipata wapi hawa mamlaka?ππ
Basi sasa tuliza kipago upewe shule,vitabu 6 vilivyotolewa havikutupwa vipo,aliyekwambia vimetupwa pia alikukusanya ujinga.
2. Kwahiyo ukigusa kitu au kubusu ndio kusujudia kitu siku hizi?
ukiulizwa Yesu aliswalije unasema alisujudu,kwa maana alipiga magoti akaianama kifudifudi,leo unaisujuida kaaba kwa kupiga goti na kuuinamia unakataa kama ni kuisujudia!!!πππ.
muslim na unafiki ni dam dam.GUY????
hapa umeruka kama umepanda buraq kwenda jerusalem kama mtume fyuuuuuuuuuu.
πππkwahiyo ukimbusu au kumshika mwanao unakuwa umemsujudia hizi akili za wapi!!!
hapana ukimbusu na kumshika mwanao baada ya kumpigia magoti na kuinama kifudifudi mbele yake unakuwa umesujudiaππ,umeelewa sasa???
aiseee umeshikwa pabaya sana huwezi kutetea Mungu wako kupigwa makofi na waislamu kushika jiwe , unatia huruma aiseeee πππ
ah weeh,hakuna muislam anaweza simama na mimi kwenye Q & N,kwa hoja za give and take.
Hata Allah mwenyewe ningemzabua hawezi tokeza.
Allah ametulia anakuangalia unavyotaabika kutetea Mungu anakunya mavi
Allah huyu huyu aliyeshindwa kumkinga mtume wake asipewe sumu??asit ombe mke wa mwanaye,mtoto wa miaka 9,πππ,hana macho,mikono wala lolote zaidi ya nyinyi waislam kumsaidia hata kumtetea.
, kwa taarifa yako sisi tunagusa jiwe na wale wayahudi wanagusa ukuta, ila wewe unapigia magoti masanamu uliojenga Buza
wala hakuna shida,shida yangu nyinyi kusujusia jiwe,kama hujui maana labda hujawahi fika,unazunguka mara 7 kutoka kushoto kwenda kulia kisha unapiga magoti kuielekea kisha unasujudu.hii hata wakristo hawafanyii hayo masanamu yao wanapiga magoti tuπ
π
π
3. ndio tunakwenda Meccah na nyie si mnaenda Israel hakuna aliewazuia, au unataka kutuambia Israel mnakwenda bure kugusa ule ukuta pale πππ
hakuna anayekwenda kugusua ukuta kama maagizo ya ibada,sio ya Yesu wala mtume yeyote ktk ukristo,watu wanakwenda kwa ratiba zao tu.
, hata Trump alienda kugusa ule ukuta pale Israel , sisi tunagusa jwe wale waisrael wanagusa ule ukuta wao, na hao waisrael ukiwaambia Yesu ni Mungu wanakushangaa, Mungu hawezi fanywa ndafu
wala usijinasibishe na wayahudi hufanani nao chochote maana wao hawakubali hata unayemwita masihi,wao wanamwona mtu mhuni tu wa mtaani.
4. Sasa BBC waseme nyota inatengeneza mwanga mimi nikusikilize wewe ππππ, huyo mtoto labda awe haijui bbc au hujui kiingereza ndio atasikiliza porojo zako
BBC wamesema nyota inatengeneza mwanga,hawajaungana na wewe na Allah kwamba nyota zinamulika dunianiπππ,huo utumbo ni wa Allah na wewe jeshi lake.
5.Kula kwa jasho imeeleweka kwani si watu wanatoka jasho, ila akija Nyoka kula vumbi unaleta siasa za lugha ya picha ππ
Kula kwa jasho maana yake nini??maana hiyo nayo lugha ya picha au uwezo mdogo kuelewa umechanganyikiwaπππ.
Huyo Mungu wako anajua nyoka anakula VUMBI kisa anatembelea tumbo ndio maana hata wakina Adam walipojificha hakuwaona, Mungu wako mwambie ale mchicha HAONI
Unadhani ni kweli Mungu hakuwaona???
kwani Allah hakujua kama Muddy chupi hajui kusoma mpaka akamwamlisha jibril amkabe???π€£π€£π€£π€£.mpaka mtume akalia"sijui kusoma mimi"ππ
Allah hakumpa desa hili jibril alisahau.
Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.
yah kwa upumbavu wao kama wako,wakidhani hakika hata waonaπππ,umeona sasa bible inavyogusa vitu kwa rythim???
Mwanzo 3:8
NYOKA ANAKULA VUMBI, mara watu wamejificha Mungu HAWAONI anaanza kuuliza huko wapi?ππππ
Hapana kaka tumia akili tu vyema utaelewa mantiki,usisome ili kukariri pekee kama Quran.
Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
tena akauliza kwanini umejificha???ππ
akili mtu wangu sio kusoma ili kumaliza.
Mwanzo 3:9
ππMwambie ale mchicha kwa wingi haoni watu wakijificha kwenye majani, ndio maana alikuja kuchezea makofi duniani
At least umekubali kwamba alikuja duniani.
Sio huyo ambaye ataujaribu moto kama unaunguza vya kutosha kwa mguu wakeπππππ