Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Ule ukuta ni wakala wa Mungu wa wayahudi? western wall wayahudi wanakwenda pale na kuomba huku wanaangalia ukuta , wengine wana ushika na wengine wa gusisha kichwa, sisi ni Alkaaba ndio sehemu yetu ya kuelekeza nyuso zetu Uislamu ni Dini ya utaratibu wewe, kuhusu jiwe jeusi nimesha kufundisha lile tuna libusu na kulishika tu , ajabu unaendele kuuliza kitu kile kile wakati jibu mujarabu nimekupa
 
😂😂utabadili chupi zote na kujipa campany hapa ni sako kwa bako,mpama uelewe.
Mimi ni yule yule hapa umekutana na mwalimu kweli kweli, hizo tabia zako sina najiamini taaluma imelala
 
Acha kumuhusisha Mohamadi na wafuasi wa Mungu komando kipensi pale msalabi 😂😂😂😂
 
Hawaangaiki vip ? hawa wanaokuja humu kumsema Mohamadi unataka tuwaache?tulia tutembeze bakora, ubaya ubwela
 
Sawa kondoo wa bwana 😁😁😁😁😁
 
Sasa kuvifuta maana yake havipo kwenye mfumo au kwenye bible zao🤣🤣,ndio maana nasema wewe unakuwa kama lofa toka mwanzo nilikuuliza,vinaathiri nini katika msingi wa imani??hukujibu na wala hukujua lengo langu nini.
Maana yake ni kwamba kama ni muhimu basi RC wanavyo kama kanisa mama.
ulikiwa unaporomoka tu kujibu kama mzigo😁😁
2.Wayahudi wanashika ule ukuta wao Western Wall sisi waislamu tunashika jiwe jeusi, wewe unapiga magoti kwenye yale masanamu yako ya Buza , huu ndio uhalisia sio mfanano ,
kijana tumia akili hata za kutambua choo kilipo ukifika shuleni😂😂,kugusa ukuta hakufanani na kusujudia kaaba.wewe kaaba sio tu umeipa nafasi ya heshima ni ibada pia unaifanyia au unataka kubisha hilo???
sasa wayahudi na Yesu wapi na wapi ahahaha, wale wana mambo yao huwezi mwambia Myahudi kuwa Yesu ni Mungu , hizo imani za kipuuzi ni zenu nyie wakristo msio na akili sio wayahudi
ila inaweza mwambia myahudi Muhammad alikuwa mtume wa Mungu,na issaka alikuwa muislam akakuelewa😂😂😂,atakukata kichwa,tena afadhali sisi huwa hatujishughulishi na ujinga wenu wale hawataki ujinga aisee🤣🤣🤣.
Yaani ukienda kucheza na babu na baba zao wa imani itakuwa tabu.
3.Mbona unaweweseka wewe si ndio ulisema Nyota haitoi mwanga?
wewe ni bumunda mkuu🤣🤣🤣
hakuna sehemi nimesema nyota hazitoi mwanga,nimesema hakuna nyota zinazotoa mwanga wa kutosha kutupa mwangaza duniani hata kwa mbali isipokuwa nyota moja tu nayo ni Jua.
😂😂hivi mbona wazito kuelewa hivi au mpaka ukabwe kama kipenzi chako alivyofanywa na jibril🤣🤣
Unataka tufundishane maana ya kusujudu sasa,hilo pia hujui😁😁😁.
Jibril sio Allah ila jibri hakupewa wasifu wa Muhammad Allah alisahau,mpaka akamkaba,ilibidi Muhammad aseme kwamba hawezi kusoma,laa angmuua mshenzi yule🤣🤣🤣🤣
Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.
Yah hizi zilikuwa akili za wenge kama zako baada ya kujitambua,wakidhani wakijificha labda hawataonekana kwa aibu wakajificha.
Mwanzo 3:8

KUTHIBITISHA KUWA HAONi
Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?

Mwanzo 3:9
Mpeni mboga za majani aone watu vichakana , acha hasira wewe NYOKA MLA VUMBI
😂😂😂pole kaka,najua umehangaika sana kutafuta hiyo mistake lakini hata wewe huiomi,ila unaamua kujifyatua😂😂
6.Sasa si bora anaejaribu moto tena huko mbinguni sio hapa, kuliko yule alieshindana na Yakobo akapigwa kwenye upaja 😂😂😂😂 au kale kaliko tundikwa kama Korodani kwenye msalaba
Ukija huku duniani lazima uwe na shepu za huku,ndio maana alishuka akakabana na yakobo,alishuka kama kichaka kinachowaka moto,akashuka kama Yesu,sasa peponi gheto kwa Allah hajui Centigrade za tanuru alilokoka🤣🤣,Allah ni mpeche mpeche since day one,hakuna Mungu humu bora tumtegemee nabii titto ana jambo la maana kumzidi😂😂
 
Mimi ni yule yule hapa umekutana na mwalimu kweli kweli, hizo tabia zako sina najiamini taaluma imelala
Taaluma si tuione sasa,mtu hata hujui mecca mnakwenda kufanya nini na unajiita msomi wa kiislam🤣🤣🤣.
 
Mnalishika tu,kaka risiti ziko mtandaoni kama hivi😁😁😁.
 
1. SIO HAVIPO hawavitambui kama Mungu anaweza kusema yale maelekezo ya humo 😂😂😂yaani wao wanaona Mungu kwenye vile vitabu 6 alikuwa kavuta bangi kwahiyo havifai, kwahiyo Roma akitoa vifungu mule kumfundisha msabato, yule Roma anaonekana chizi maana Mungu hausiki na ule ujinga wa yale mavitabu 6, halafu unauliza athari sasa unataka athari kubwa kuliko watu kupuuza maandiko ya Mungu wao kuwa ni uzushi 😂😂

2.Kaaba ni maelekezo ya Allah kuwa tukiswali popote pale tuelekee kule , sisi tunapo pakuelekea, Wayahudi wanakwenda kwenye ule ukuta kufanya MAOMBI ndio wanagusa na kuegemeza vichwa kwenye ukuta, wewe huna pa kuombea ndio maana unaangaika na visanamu kuzunguka navyo makanisani, HUNA Hukuta wala kaaba 😂😂

3.umeona waisrael hii ni sehemu yao ambayo wanajua Mungu wao anawasikia wewe HUNA ndio maana una angaika, WATU wanaongea na ukuta na kusema shida zao wewe huna unaangaika tu😂😂😂



HAWA WAMEJAA KILA ANATAFUTA UKUTA KUONGEA na MUNGU ili amsikia wewe mbeba visanamu ndio unateseka



4. Jibril alikuwa anafundisha mwanafunzi wake Allah ametulia kwenye utukufu wake, Mungu mwenye hadhi sio kale kaliko banikwa mtini

5.Kwahiyo Mungu wako alikuwa na wenge?😂😂😂kwasababu yeye ndio kauliza mko wapi sio Adam ahahaha, lazima awe na

Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?

Mwanzo 3:9
sasa kama Mungu anaweza kupata wenge mpaka anauliza vitu anavyo viona ndio maana wale jamaa walitoa vitabu 6 kwenye Biblia yao 😂😂😂

6.Hii ni shida kubwa ya kuamini kiumbe mwenzako kuwa Mungu 😂😂😂 watu wamechambisha mavi wewe leo utuambie ni Mungu hili jambo lina hitaji uwe kwenye level ya kichaa kukubali, yaani Mungu ananuka anakata gogo chooni , asante Allah kwa kuniweka mbali na ujinga huu
 
Muhammad huyu kitombi ana tofauti gani na harmonize😂😂😂
Mohamadi bado sana selemani aligonga 700, na hakufa kwa kugonga , wewe endelea na kamwana mke kamoja kama ka urithi , mwanaume mashine wewe
 
Taaluma si tuione sasa,mtu hata hujui mecca mnakwenda kufanya nini na unajiita msomi wa kiislam🤣🤣🤣.
Nimesha kufundisha kila kitu kuhusu meccah bila shaka hauna swali jingine? Kama unalo lete mimi mjuzi wa haya mambo, na wewe nenda Israel kapige kichwa ukuta ule Mungu atakusikia shida zako 😂😂😂
 
Mnalishika tu,kaka risiti ziko mtandaoni kama hivi😁😁😁.
View attachment 3131522
Umeelewa sasa Kaaba ni uelekeo na jiwe jeusi ni jiwe kumbe shida ni huelewa 😂😂😂😂😂, tunatakiwa kuswali kuelekea Kaaba ila jiwe jeusi wakati wa Hija tunatakiwa kuligusa na kulibusu, kumbe ndio maana huelewi kumbe umezoa tu picha bila kujua, hata sisi huku Tanzania tunaswali kwa uelekeo wa Kaaba , yaani hapa utapata elimu bila malipo
 
Nini maana ya Uislam?

Quran inaeleza kuwa Uislam ulikuwepo toka kipindi cha Adam a.s.

Uislam ni kunyenyekea na kujisalimisha kwa Mungu mmoja. Kila watu walipewa mitume na manabii wao wawafuate pamoja na sheria zao ila uislam ni uleule.
 
Uislam ni dhehebu la dini ya kikristo iliyojitenga ndani ya kanisa katholic
 
TOfauti yako na yangu ni kwamba wewe umeelekezwa mimi nimesoma na kuona vitendo,hatuwezi kuwa sawa kimtazamo katika jambo hilo.

NI mpumbavu peke yake atakuelewa kwamba hapo ni maswala ya uelekeo tu sio kuisujudia😂😂😂
 
Mohamadi bado sana selemani aligonga 700, na hakufa kwa kugonga , wewe endelea na kamwana mke kamoja kama ka urithi , mwanaume mashine wewe
Tofauti ya suleiman na mtume wako ni moja.

Huyu anakiri kwamba ulikuwa ufahari wa macho yake tu,na wamesababisha akamchukiza Mungu mara nyingi.

Yaani hakuna jambo la hovyo ktk bible lilifanywa na nabii au mtume halafu likaachwa likisifiwa.
Pamoja na yote suleiman hakula mtoto wa miaka 9😂😂😂
 
Muhimu Selemani alikula mbususu nyingi kuliko mtume, kelele kibao ahooo mtume alikuwa na wanawake wengi wanawake wenyewe hata 50 hawajafika, wakati Selemani aliwapanga 700 mpaka wapagani alipiga 😂😂😂
 
TOfauti yako na yangu ni kwamba wewe umeelekezwa mimi nimesoma na kuona vitendo,hatuwezi kuwa sawa kimtazamo katika jambo hilo.

NI mpumbavu peke yake atakuelewa kwamba hapo ni maswala ya uelekeo tu sio kuisujudia😂😂😂
Mimi ndio muelekezaji mwenyewe msomi wa maandiko wq kiwango kilubwa siku nyingine usiwe mjinga kuna Kaaba ni uelekeo(direction) na jiwe jeusi ni jiwe ambalo nalo linatakiwa kuguswa na kubusiwa wakati wa HIJA, nilikwenda madrasa kusoma sio kukua
 
Mimi ndio muelekezaji mwenyewe msomi wa maandiko wq kiwango kilubwa siku nyingine usiwe mjinga kuna Kaaba ni uelekeo(direction) na jiwe jeusi ni jiwe ambalo nalo linatakiwa kuguswa na kubusiwa wakati wa HIJA, nilikwenda madrasa kusoma sio kukua
Sure kabisa ulisoma ila kuelewa ni mpaka uwe na kichwa kaka😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…