Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Kwahiyo Yakobo alikuwa Muislam kabla ya Uislam wenyewe!!!??? Quran ilishushwa enzi za Mohammad kwa maana nyingine Uislam ulianzia hapo quran iliposhushwa maana hiyo ndo mwongozo wa uislam. Angalau unhesema alikuwa Myahudi
 
Yaani Uislamu huu huu ambao umebuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka ndio mnataka kuaminisha Yakobo aliuabudu.
Shetani alibuni Uislamu kama mpinga Kristo.
 
Enzi hizo mtume Mohhamad (S.A.W) alikuwa bado hajazaliwa.
 
Sijasoma ila ngoja tu nikujibu, mohamed ndo nabii mdogo zaidi kuliko wote, na yeye ndiye aliyetuletea uislam, hivo unaowasoma wote walikuwepo kabla yake na uislam haukuwahi kuwepo popote kabla ya SW hivo kama unafikiria mambo kwa upana wake usingeandika huu uzi.
Manabii wwnfi tunaowasoma kwenye bibilia walikuwa ni wayahudi ama wapalestina hivo walikuwa na dini za kiyahudi
 
Hata Sijasoma ulichoandika ila nachojua Yacobo alikuwepo kabla ya Uislam na Ukristo kuanzishwa
 
Monotheism (dini ya mungu mmoja) msingi wake ni Jews.

Jews asilia ni nani, mtihani maana zama hizo hata hao Jews kila mtu alikuwa anafanya ibada kwa mtindo wake.

Jews wenyewe (sio hawa wazungu tu) walikuwa Middle East yote kabla ya hawa wa Europę kurudi. Ambao waingereza wamewarudisha Israel (Palestine) na kuwafanyia wa maeneo mengibe kurudi.

Sasa maeneo mengine ni yepi (Jews, walikuwa na makabila, 12) ukitoa wazungu ni ghasia. Middle East yote ina Jews kuanzia Afghanistan na nchi zote za middle east (ndio maana wana waharabu wa kuingilia, usalama wa taifa wa nchi zingine).

Kitabu cha Jews ni (Torah) Old Testament ambacho kimejaa hadithi za mitume na wafalme zilizokuwa zikusimuliwa na kurithishwa lakini (hazina ushahidi wowote) pretty puch mythology (if you’are scientific) ukweli wake, Hakuna archeological evidence.

Na wenyewe Jews (makabila, 12) hawakuwa na mtindo rasmi wa ibada maana hizo hadithi overtime zilikuwa zinachujwa kila eneo (ndio maana kuna vitabu hata biblia Inavikataa).

Msingi wa hizi dini za ‘Abraham’ (Jewes, Christianity and Islam) ni ‘old tastement’, tofauti zao za ibada ya awali ndio wakazuka hao manabii wao Yesu na Muhammad na kuunda hizo dini mpya.

Sasa tena ukiristo na uislamu nao ukaja na uzushi wake wa (new testament). Mashaidi wake (wasimulizi ni wafuasi) ni wanafunzi sijui wafuasi wa mwanzo wa hiyo mitume.

Kila mtu haamini anachotaka, binafsi naamini kuna spiritual powers. Lakini huu upuuzi wenu wa kulambana kishamba kutokana na imani zenu; yaani mnaonyesha kiwango cha ujinga kweli.
 

Attachments

  • Screenshot_20240121-104402.jpg
    479.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240121-103615.jpg
    370.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240123-121550.jpg
    307.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240929-190914.jpg
    439.4 KB · Views: 5
Malimbukeni wa dini ni wengi sana
 
Wakristo wanamubudu Mungu na Si Maria, Yusufu, sijui Issa, mtakatifu pyey pyee.
Mungu mmoja nafsi ttu yaani :-
1. Mungu baba
2. Mungu mwana [YESU]
3. Mungu roho mtakatifu.
 





Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku slim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…