Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Quran imekuja, miaka 600 baada ya Biblia. Ni rahisi kupachika uongo wa kutosha kuhalalisha wanavyotaka. Mohamed alizaliwa 570, na akaanza uislam miaka 40 baada ya kuzaliwa kwake mwaka 610. Yakobo hakuwa muislam Wala mitume wote hata Yesu. Quran inajilazimisha/kujipendekeza ktk Biblia,,, lakini Biblia haikusema chochote kuhusu uislam.
 
Hii aya tulisha waeleza ndio wa kwanza kwa Nyakati zake (umma wake), ila huko nyuma pia nabii husika wa umma husika pia alikuwa wa kwanza kufundisha imani na kusilimu kisha anawaendea binadamu wengine
Uongo, utapeli na ulaghai. Dini ya ujanja ujanja na utapeli. Miaka mnatumia kuhwsabu hii 600plus ni ipi? Acheni kuwa matapeli kama alivyokuwa mohamad.
 
Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku silim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
 
Biblia haifahamu Mudi na haiufahamu Uislamu.
 
Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku silim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
Nimesha kujibu kwa UMMAH wake mbona rahisi sana
 
Unawazimu ww si bure
 
Uongo, utapeli na ulaghai. Dini ya ujanja ujanja na utapeli. Miaka mnatumia kuhwsabu hii 600plus ni ipi? Acheni kuwa matapeli kama alivyokuwa mohamad.
Miaka ina husika vip na aya ya Yakobo kuwa muislamu? ebu jikite kwenye mada halafu lete andiko hapa Yakobo alikuwa dini gani tofauti na Uislamu
 
Hivi mpo serious mnagombania made up characters... Yaani ni sawa nitengeneze movie yangu bongo afu niseme superman wa kwangu... batman wa kwangu...sio wa DC
Wakati nimewakuta DC..
Bahati nzuri kulikuwa hamna Sheria za plagiarism na copyright watu wangefungwa sana..
 
Uislamu huu huu uluoletwa na teja mmoja anayeitwa Allah?
 
Miaka ina husika vip na aya ya Yakobo kuwa muislamu? ebu jikite kwenye mada halafu lete andiko hapa Yakobo alikuwa dini gani tofauti na Uislamu
So Leo hii nikianzisha dini yangu ya Koriko...nikaandika Aya ya Yakobo kusema ye ni mkoriko Yakobo nae anajua mkoriko si ndio?
Mna kazi kweli
 
Weka Aya hapo, usichoelewa nini?, mtoa mada bandiko lake ujalisoma binamu?
 
So Leo hii nikianzisha dini yangu ya Koriko...nikaandika Aya ya Yakobo kusema ye ni mkoriko Yakobo nae anajua mkoriko si ndio?
Mna kazi kweli
Acha kupuyanga lete andiko hapa kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mtoa uzi awe kasema uongo
 
Mi nikadhani uthibitisho unatoka kwenye Biblia, kumbe umetoa kwenye kitabu chenu 🤣🤣🤣 we unadhani shetani naye angeandika kitabu chake story yake ingekuwaje!?
 
Mimi niko na mtoa nyuzi si ametoa andiko hapo, wewe lete andiko lako kumpinga sio maneno matupu
Hili nalo andiko ami au hadi niandike kiarabu....andiko limetokana na muandiko amen
 
Ndio maana wataifa makubwa yanatuambia kitu pekee tulichokishika waafrika ni dini kuliko hata wao wenyewe waliotuletea dini hizo ukiangalia Elimu yetu shida, Afya shida, Miundo mbinu shida, Uongozi shida kila kitu kwetu ni balaa lakini kushika na kutetea hizi dini za kuletwa kwa njia ya maji kwa mlengo wa kutupiga BrainWash ili watuibie na kutugawa tusiwe wamoja tena ndio tupo mstari wa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…