The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Jibu ni rahisi tu. Aya ya Yakobo imeandikwa na nani, mwaka gani na kwenye kitabu gani, cha dini gani ? Kama Yakobo ndiye yuleyule aliyebadilishwa jina na akaitwa Israel mpaka taifa lao Waisraeli lipo, je, Waisraeli ni waislam ?Miaka ina husika vip na aya ya Yakobo kuwa muislamu? ebu jikite kwenye mada halafu lete andiko hapa Yakobo alikuwa dini gani tofauti na Uislamu
Yakobo ndio Israel sasa tuambie kwenye maisha yake Yakobo alikuwa ni mtu wa dini gani kwa maandiko kama mtoa mada sio maneno matupu hayana maana hapaJibu ni rahisi tu. Aya ya Yakobo imeandikwa na nani, mwaka gani na kwenye kitabu gani, cha dini gani ? Kama Yakobo ndiye yuleyule aliyebadilishwa jina na akaitwa Israel mpaka taifa lao Waisraeli lipo, je, Waisraeli ni waislam ?
Mungu 1 nafsi 3.Mungu baba na Mungu mwana nani ni mkuu kuliko mwengine au wote wako sawa?
Leta sura ya Biblia ikisema Yakobo alikuwa muislamuAcha kupuyanga lete andiko hapa kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mtoa uzi awe kasema uongo
Umeanza kuchanganyikiwa mtoa mada katoa Quran, wewe lete andiko lako kumpinga, sio maneno matupu kama kasukuLeta sura ya Biblia ikisema Yakobo alikuwa muislamu
Kijana swali umeliona rudia tena kusoma uje na jibu hapa, Mungu baba na Mungu mwana nani ni mkuu kuliko mwengine? acha kuruka rukaMungu 1 nafsi 3.
Hakuna nafsi kuu kuliko nyingine.
Narudia "Mungu ni mmoja, nafsi TATU"
Kinyakyusa tunaita "Trinity"
💯Hii inaakisi uwezo wetu. Weredi unawekwa pembeni inabaki mahaba ya Simba na Yanga kila nyanja ya maendeleo.Halafu kuna mtu anategema Nchi hii ije kupata maendeleo
Yakobo ambaye kwa jina lingine ni Israel, yaani baba wa waisrael ambao dini yako imesema muwaite "mayahudi", hakuwa muislam, ila alimwamini Mungu. hakuwa na dini wala dhehebu, yeye aliabudu Mungu moja kwa moja, Mungu wa baba yake Isaka, na babu yake Ibrahim.Tuambie wewe Yakobo alikuwa Dini gani ili mtoa mada awe amesema uongo kwa andiko sio maneno matupu?
Sasa tulia huwezi kupinga uzi kwa maneno matupu
Sasa tulia huwezi kupinga uzi kwa maneno matupu
Uongo, utapeli na ulaghai. Dini ya ujanja ujanja na utapeli. Miaka mnatumia kuhwsabu hii 600plus ni ipi? Acheni kuwa matapeli kama alivyokuwa mohamad.
Uongo, utapeli na ulaghai. Dini ya ujanja ujanja na utapeli. Miaka mnatumia kuhwsabu hii 600plus ni ipi? Acheni kuwa matapeli kama alivyokuwa mohamad.Hii nakujibu ww mwenyewe binafsi, (haihusiani na member wengine).
Acha huo ukichaa au Ulevi.
Kuna historia unasoma ww za miaka 200 nyuma,
Hizi za dini zao hata kama hawakuandika walikuwa wanarithi vizazi kwa vizazi kwa hadithi. Na mpaka pale walipoweka kuweka kwa Lugha ya kuelewana na ndipo ikaenea zaidi.
Nimekuambia ni sawa na mimi nitengeneze movie yangu bongo afu niseme superman wa kwanguUmeanza kuchanganyikiwa mtoa mada katoa Quran, wewe lete andiko lako kumpinga, sio maneno matupu kama kasuku
Yaani zamani watu walikuwa ni wajinga sana, mtu moja anaweza akawahadaa watu na wote eti wanamwamini tu kwamba kweli ametumwa na Mungu..!!
Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku slim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
Hapa hakuna siasa andiko linapingwa kwa andiko sio porojo, lete andiko kuthibitisha dini tofauti ya YakoboNimekuambia ni sawa na mimi nitengeneze movie yangu bongo afu niseme superman wa kwangu
Kwahiyo hili ndio andiko la dini ya Yakobo?
Mzee maneno yote hayana uthibitisho udini juu ya dini ya Yakobo, lete andiko uthibitisho kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mbona unazunguka , unalo andiko au huna?Yakobo ambaye kwa jina lingine ni Israel, yaani baba wa waisrael ambao dini yako imesema muwaite "mayahudi", hakuwa muislam, ila alimwamini Mungu. hakuwa na dini wala dhehebu, yeye aliabudu Mungu moja kwa moja, Mungu wa baba yake Isaka, na babu yake Ibrahim.
si Ibrahim, si Isaka wala Yakobo, wala watoto 12 wa Yakobo (ambao ni mataifa 12 ya waisrael) walikuwa waislam. Uislam umekuja kuanzishwa na mwongo mwongo fulani ivi aitwaye mood miaka zaidi ya 2500 baada ya Ibrahim, Isaka, Yakobo kuzaliwa na kufa.
Ili kujibu swali hili lazima ukatae, Israel sio Yakobo, kwa hiyo Yakobo alikuwa muislam na Israel ndiye mkristo. Hilo fungu au ya Quran imechomekwa kuhalalisha kwamba uislam ulianza enzi za zamani, kitu ambacho ni uongo mkubwa na uzushi. Kama tunakubaliana Quran iliandikwa miaka ya 610 AD, ni rahisi kukubaliana kuingizwa uongo wowote kuhalalisha mtazamo wao. Yakobo huyo huyo aliyeitwa Israel leo unalazimisha alikuwa muislam kwa aya iliyopachikwa miaka 600 baada ya Biblia, wakati ni mtu yuleyule aliyeitwa Israel !!!!!!! Haya ndiyo maajabu ya Quran. Usifanye hata walio kuwa wanadhania ni kitabu cha MUNGU kuona ni hadithi za kitapeli/uongo na visa vya kutunga.Mzee maneno yote hayana uthibitisho udini juu ya dini ya Yakobo, lete andiko uthibitisho kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mbona unazunguka , unalo andiko au huna?
Hakuna aliekataa Israel ndio Yakobo na andiko la kuthibitisha kuwa Israel ndio Yakobo lipo kwenye biblia sasa tuambie Yakobo alikuwa Dini gani katika biblia hiyo hiyo hili mtoa mada awe amesema uongo, bila kutoa andiko unakuwa sawa na wapiga kelele wa vijiweni, mtoa mada katoa andiko nawewe unatakiwa kupangua kwa andiko sio maelezo mengi yasiyo na maana, nafikiri nimetumia lugha nyepesi na umeelewa ninacho taka kwakoIli kujibu swali hili lazima ukatae, Israel sio Yakobo, kwa hiyo Yakobo alikuwa muislam na Israel ndiye mkristo. Hilo fungu au ya Quran imechomekwa kuhalalisha kwamba uislam ulianza enzi za zamani, kitu ambacho ni uongo mkubwa na uzushi. Kama tunakubaliana Quran iliandikwa miaka ya 610 AD, ni rahisi kukubaliana kuingizwa uongo wowote kuhalalisha mtazamo wao. Yakobo huyo huyo aliyeitwa Israel leo unalazimisha alikuwa muislam kwa aya iliyopachikwa miaka 600 baada ya Biblia, wakati ni mtu yuleyule aliyeitwa Israel !!!!!!! Haya ndiyo maajabu ya Quran. Usifanye hata walio kuwa wanadhania ni kitabu cha MUNGU kuona ni hadithi za kitapeli/uongo na visa vya kutunga.