Hahahha unakuwa si mchoyo,,,unazungusha tu hlo ni tatzo kwa watumiaji wa pombeTatizo castle laga shingo nene baridi zikianza kupanda kichwani halafu unahela ya kutosha mfukoni, kutoa ofa si shida!
Hapa ndipo sipapendi!
Wanareweshwa ,wanafurahia kisha wa nalewa wana endelea kuichagua Ccm, pombe zikiwaisha wanaleta lawama [emoji124] [emoji124] ,taifa la wanywaji wa wachangiaji kodiThnxs mkuu,yajayo kwny sekta ya pombe yanafurahisha sana.
Hahah ndo maisha ya wanyonge hayo,wanaletewa bia za buku wasahau shida zao.Wanareweshwa ,wanafurahia kisha wa nalewa wana endelea kuichagua Ccm, pombe zikiwaisha wanaleta lawama [emoji124] [emoji124] ,taifa la wanywaji wa wachangiaji kodi
Na wanasahau kweli,yaani dah haya banaHahah ndo maisha ya wanyonge hayo,wanaletewa bia za buku wasahau shida zao.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yure mupe yure mupe wote wape HAKUNA kuruka(sio ukuta)nawaonea uruma kweli wasikuonjwa pombe maana kama nawaona mnavyotuonea donge na gere 12 yako tu nazungusha vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahahahha aisee umenichekesha bia harufu yake siwezNo mambo ya kuamka toilet, ni kusip tartiiibu, wanywa bia wanywe tu kreti zote, maini yangu yanapenda kitu spirit
Ni uwezo wako tu sasa hivi mdadaWatoe na sheria yao ya kuanza kunywa bia kuanzia saa kumi