Huree kuanzia kesho bia buku....

Huree kuanzia kesho bia buku....

Tatizo castle laga shingo nene baridi zikianza kupanda kichwani halafu unahela ya kutosha mfukoni, kutoa ofa si shida!

Hapa ndipo sipapendi!
Hahahha unakuwa si mchoyo,,,unazungusha tu hlo ni tatzo kwa watumiaji wa pombe
 
Nitakunywa nitakunya kinyakinya mwarrrrrrrrrr mzoe.
Nimemjibia tu mshikaji yeye Hana smartphone
 
nawaonea uruma kweli wasikuonjwa pombe maana kama nawaona mnavyotuonea donge na gere 12 yako tu nazungusha vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yure mupe yure mupe wote wape HAKUNA kuruka(sio ukuta)
 
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom