Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
Hahahha unakuwa si mchoyo,,,unazungusha tu hlo ni tatzo kwa watumiaji wa pombeTatizo castle laga shingo nene baridi zikianza kupanda kichwani halafu unahela ya kutosha mfukoni, kutoa ofa si shida!
Hapa ndipo sipapendi!