Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

muungwa, kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, comrade Dr Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la police nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko mbeya bila masharti yoyote..

amawarai wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa..

Asant sana mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.

Asant Dr.Samia Suluhu Hassan

Mungu Ibariki Tanzania
Tengeneza tatizo the solve, beba sifa
 
Wewe ndiye Samia? Weka hapa taarifa tika kwake na siyo toka kwako.
 
Duh, kweli nimeamini ukiwa Chawa atleast moja na mbili zisiwe kichwani
 
Hivi kosa la
licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

muungwa, kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, comrade Dr Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la police nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko mbeya bila masharti yoyote..

amawarai wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa..

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.

Asant Dr.Samia Suluhu Hassan

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kosa lao ni nini?
 
Chawa zito lilisikika
 
Hivi kosa la

Hivi kosa lao ni nini?
huruma ya rais imefuta makosa yao yote, na haina haja tena kuyajadili...

ya kupanga, kuhamasisha fujo na kuhatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi Tanzania 🐒
 
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Basi unaona burudani siyo

Kuwasweka wenzenu korokoroni

Ova
 
kudhibiti uhalifu na kulinda umoja amani na utulivu wa wananchi ndio hasa muhimu zaidi gentleman 🐒
😂😂 udhibiti uhalifu wenye double standards, ilimradi ukiwa upande fulani, hata uibe trillion hautoguswa wala kufunguliwa kesi, hata ukifanya jinai lubwa kiasi gani. Ila ukiwa upande mwingine ndio unaonyesha utenda kazi 😳
 
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Usifikiri una- address wajinga hapa jukwaani. Huu ujinga peleka Lumumba. Hawa waliokamatwa na polisi yenu (bila sababu za msingi) wameachiwa si kwa huruma ya Samia bali kwa mujibu wa sheria. Kama mnaona kuna kosa wametenda, nendeni mahakamani mtakutana na Kibatala.
 
Hapa ondoa neno huruma!
Hakuna huruma yoyote!
Ukatili na ufedhuli ndio umejaa nchi hii!
Unaamuru watu wakamatwe kwa kuwa wewe ni chama kinachoongoza nchi bila ridhaa ya wananchi!
anyway,
kwa maombi yako narekebisha kwaajili yako tu,

ya kwamba utashi wa kisiasa na dhamira njema ya Dr. Samia Suluhu Hassan imewaweka huru viongoz waandamizi wa Chadema na baadhi ya wanachama waliotiwa nguvuni mbeya jana kwa kujaribu kutaka kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania...

kudhibiti uhalifu haihitaji ridhaa ya wanainchi ni jukumu la jeshi imara la police nchini 🐒
 
Usifikiri una- address wajinga hapa jukwaani. Huu ujinga peleka Lumumba. Hawa waliokamatwa na polisi yenu (bila sababu za msingi) wameachiwa si kwa huruma ya Samia bali kwa mujibu wa sheria. Kama mnaona kuna kosa wametenda, nendeni mahakamani mtakutana na Kibatala.
kama ni mweru relax bas, panicking na mihememko ni ya waliofikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala,

Je wew ni miongoni mwao?🐒

magenge ya kihalifu yaliyokusudia kuhatarisha umoja amani na utulivu wa wanainchi jana, walidhibitiwa ipasavyo jana na jeshi imara la police Tanzania,

na leo hii baada ya kujiridhisha hakuna kitisho cha uvunjifu wa amani kutoka kwa magenge hayo ya kihalifu...

kipenzi cha waTanzani wote, Rais Dr Samia Suluhu Hassan, alivielekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuwaachia mara moja watuhumiwa hao na bila masharti yoyote...

na kuwarai wanasiasa wote nchini, kufanya siasa za kistaarabu, kujiepusha na kujitenga na mipango na harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja amani na utulivu wa wanainchi, kwani vitendo hivyo havitavumiliwa na jeshi letu imara sana la police 🐒
 
😂😂 udhibiti uhalifu wenye double standards, ilimradi ukiwa upande fulani, hata uibe trillion hautoguswa wala kufunguliwa kesi, hata ukifanya jinai lubwa kiasi gani. Ila ukiwa upande mwingine ndio unaonyesha utenda kazi 😳
hayo ni maoni na mtazamo wako rahisi...

uhalifu ni uhalifu tu hakuna huruma wala viwango vya kuchukua hatua kudhibiti hasa magenge hatari ya kuvuruga amani kama ya jana....

Majeshi ya kisasa kama hili la Tanzania, haliwezi kupuuzia wala kusita kuchukua hatua kusambaratisha na kuyatokomeza magenge hayo....

hiyo ya dablestandard kwenye uhalifu labda huko kwingineko lakini sio Tanzania 🐒
 
Back
Top Bottom