binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Taka taka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM ni chama cha siasa kinatakiwa kifanye siasa, sasa dola inapozuia Chama kikubwa cha upinzani kufanya siasa hii nikukaribisha, watu kutumia njia mbadala kudai haki zao, ANC ilianzisha Nkonde iswizwe baada ya kuona njia za kisisa zimeshindikana usizane hata wstu kama, Hamas, Boko haram, Alshababu hayo makundi yalitokea tu bila sababu la hasha. Nikutokana na misuguano kama hii. Hii nchi siyo ya CCM peke yake na wajue kuwa hawana hati miliki ya kuongoza milele. Wanaweza wakawanunu viongozi wote wa siasa lakini bado kukawa na upinzaniLicha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
- Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nashindwa niandike niniLicha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
- Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Vichekesho 🤣🤣🤣 we kweli ZERO BRAIN 🧠Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
- Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
StupidLicha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Hivi walivunja sheria gani na shtaka lao linasomekaje?Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
- Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
suala la uhalifu nchini halitasubiri uvunjifu wa amani, uharibifu wa mali za watu, majeruhi au pengine maafa...Too late, damage waliyofanya jeshi la polisi ni kubwa sana, kazi ya Mh. Rais aliyoifanya kwa miaka mitatu imechafuliwa dakika moja tu na watu wanaotaka kupandishwa vyeo. Kulielewa hili uwe na akili za kutosha, kama unazo za kusifia na kuvukia barabara tu huwezi kamwe ukaelewa uharibifu huu.

actually yote yamefutwa,Hivi walivunja sheria gani na shtaka lao linasomekaje?

Ukweli upi sasa? Mbona kongamano la Act na ccm hamkuzuia.?umepanic au ni mihemko gentleman?
mbona unauchukia ukweli hivyo aise dah![]()
Kuna mwehu mwenzio mmoja alikuja na uzi hapa kwamba raisi samia hahisiki . Wewe nawe unaharisha kwamba huruma ya raisi imesaidia. Tuwaeleweje nyie MACHAWA/ INZI WA KIJANI.Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
- Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
4 R Zimesiginwa kikatili sana na hawa majambazi wanaovaa uniform.suala la uhalifu nchini halitasubiri uvunjifu wa amani, uharibifu wa mali za watu, majeruhi au pengine maafa...
jeshi imara la polisi nchini halitasita kuchukua hatua kali dhidi ya magenge ya kihalifu, kuyadhibuti na kuyasambaratisha bila huruma wala kuona haya ili kudumisha umoja, amani na utulivu wa waTanzania,
hata hivyo,
baada ya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kwamba hakuna tena kitisho cha kiusalama, jeshi la polisi kupitia idara zake za kiusalama kitaifa litawaachia huru watuhumiwa bila masharti yoyote...
kisiasa,
Dhamira wazi, nia njema, malengo mahususi na makusudi ya dhati rais Dr. Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya ccm haiwezi kuchafuliwa na magenge ya kihalifu yanayokusudia kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi kitu amabacho,
umoja, amani na utulivu wa nchi, ni miongoni mwa vupaumbele vya serukali ya awamu ya6![]()
zingatia ukweli hapo juu bila mihemko wala kubabaika,Kuna mwehu mwenzio mmoja alikuja na uzi hapa kwamba raisi samia hahisiki . Wewe nawe unaharisha kwamba huruma ya raisi imesaidia. Tuwaeleweje nyie MACHAWA/ INZI WA KIJANI.
Tangu lini kwenye sheria kuna huruma?

Huna AkiliLicha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,