Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha! Kumbe hatuko kwenye 'same wave length'. Mimi naongea utaratibu wa kisheria kuhusu kufuta uhalifu uliousema na wewe sijui unaongelea nini.yalikua mahakamani? 🐒
Kwa hiyo, hapa unajadili masuala gani kama masuala ya uhalifu hayahusiani na mahakama yenye wajibu wa kutoa haki na adhabu kwa wahalifu?mashtaka ni kule mahakamani gentleman, na ni vizuri kujadiliana masula ya kisheria kwenye jukwaa mahususi 🐒
Mimi nakuuliza wewe uliyesema "uhalifu umefutwa". Sasa si ueleze ulifutwaje na ndiyo maana nikaanza na kusema tuanze na sheria maana ndiyo iliyoweka utaratibu wa ku'deal' na uhalifu?mbona unaeleza kilichofanyika leo ama niaje gentleman 🤣
Hii ni hoja iliyojengwa na 'wahalifu watawala' na kuisukumia kwa upinzani ili kujenga hoja kuwa kuna uhalifu utatokea!anyway,
kwa maombi yako narekebisha kwaajili yako tu,
ya kwamba utashi wa kisiasa na dhamira njema ya Dr. Samia Suluhu Hassan imewaweka huru viongoz waandamizi wa Chadema na baadhi ya wanachama waliotiwa nguvuni mbeya jana kwa kujaribu kutaka kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
kudhibiti uhalifu haihitaji ridhaa ya wanainchi ni jukumu la jeshi imara la police nchini 🐒
KabisaaaaaRubbish. Amalizie muda arudi kwao kizimkazi