Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

umekasrika hentleman?
na hiyo ni dhamana tu wananchi wamenipatia niwafanyiae kazi za maendeleo, ubaya uko wapi kwani?:pedroP:

magenge ya kihalifu hayawezi kupanga njama za kuvuruga umoja, amani na utulivu wa nchi yetu, yakawafumbiwa macho, lazima yadhibitiwe na kusambaratishwa mara moja...

huruma ya mkuu wa nchi, itafuata baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kijiridhisha kwamba hakuna kitisho cha magenge ya kuhalifu tena kuvuruga amani kwa wananchi.

, kuna ubaya wowote hapo gentleman:pulpTRAVOLTA:
Jimbo gani hilo unalotaka

Ova
 
Ifike mahali tukubali kuwa Zama.za ujinga zimekwisha. Yaani ukamate Watu bila kosa baadae uje utuambie huruma 😂️😂️😂️😂️
 
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nyie ndo mnasababisha waafrika tuonekane wajinga.kwanini asingetumia hiyo huruma mwanzoni kabla yote haijatokea
 
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Shetani kajifunua uso mzima sasa!

Zile mbwembwe zote baada ya kushtukiwa, sasa sura kamili ya ushetani haijifichi tena!
Ninakuzungumzia wewe mwenyewe na huyo shetani mwenzio unaye mfanyia kazi humu.
 
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,

Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..

Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.

Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒

Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.
Huruma?
Huruma inaingiaje hapo?
 
Angeacha tuone hatima yao
 
actually yote yamefutwa,

ila kupanga kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi ni miongoni mwa uhalifu uliokusudiwa kutekelezwa na magenge ya kihalifu yaliyodhibitiwa jana na jeshi imara sana la polisi Tanzania:pedroP:
Yamefutwa na mahakama?
 
suala la uhalifu nchini halitasubiri uvunjifu wa amani, uharibifu wa mali za watu, majeruhi au pengine maafa...

jeshi imara la polisi nchini halitasita kuchukua hatua kali dhidi ya magenge ya kihalifu, kuyadhibuti na kuyasambaratisha bila huruma wala kuona haya ili kudumisha umoja, amani na utulivu wa waTanzania,

hata hivyo,
baada ya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kwamba hakuna tena kitisho cha kiusalama, jeshi la polisi kupitia idara zake za kiusalama kitaifa litawaachia huru watuhumiwa bila masharti yoyote...

kisiasa,
Dhamira wazi, nia njema, malengo mahususi na makusudi ya dhati rais Dr. Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya ccm haiwezi kuchafuliwa na magenge ya kihalifu yanayokusudia kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi kitu amabacho,

umoja, amani na utulivu wa nchi, ni miongoni mwa vupaumbele vya serukali ya awamu ya6 :pulpTRAVOLTA:
Sawa. Katika kujadili jambo tunaelimishana. Hatubishani tu kwa lengo la kubishana. Tuanze na sheria iliyovunjwa na kutaja shitaka la uhalifu uliofanywa au kukusudiwa kufanyika.
 
actually yote yamefutwa,

ila kupanga kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi ni miongoni mwa uhalifu uliokusudiwa kutekelezwa na magenge ya kihalifu yaliyodhibitiwa jana na jeshi imara sana la polisi Tanzania:pedroP:
Ulishaona polisi wakimkamata mhalifu kuna sheria inayowapa mamlaka ya kufuta huo uhalifu/kumwachia mhalifu au mahakama ndiyo yenye huo wajibu wa kutoa haki na pia kuadhibu au kusamehe kwa mujibu wa sheria?
 
Sasa watu wengine Mkitukanwa kwa kutoa hoja za kijinga kama hizi mnalalamika kabisa?
Daah wewe jamaa nakuonaga mjinga sana kwa posti zako nyingi tu hapa jukwaani.
Utakuja na kahoja kako cha kipimbavu eti nikosoeni kistaarabu.
Daah hii nchi ina baadhi ya watu wajinga sana mmoja wapo ni wewe mtoa posti
 
Back
Top Bottom