Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini,
Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote..
Soma Pia:
Wanasiasa wote nchini wajiepushe na mipango, siasa au harakati zenye viashiria vya kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa wananchi wa Tanzania, kwani havitavumiliwa.
Je, hii ndio maana halisi na nguvu ya 4Rs theories, alizobuni Rais Samia kuliunganisha Taifa?🐒
Asant sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania.