Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

relax bas padre,

kwani msigwa kule kwenye uchaguzi wa kanda ya nyasa alishikiwa bunduki ndio akaibiwa kura?:pedroP:
Tumbili Peter Msigwa alishindwa kihalai kwa tofauti ya kura mbili. Huyo ni bidha yenu iliyonunuliwa kwa $500,000. Siyo nyie chawa mnatumika kiboya tu
 
Hao unaowashangilia ndiyo certified criminals sasa
Korokoroni nini Mandela mwenyewe alikaa huko
Kwa shida,nyie malaika ndiyo hamkai huko

Ova
mimi daima na msifu Mungu pekee,
sina wa kumshangilia zaidi yake....

korokoroni ni mahali pa mtu yeyote mkosaji, anaekwenda kinyume na sheria za nchi na sio kwa ubaya, ni utaratibu wa kistaarabu kabisa duniani:pedroP:
 
Acha kusifu mungu kinafki
Unafikiri hao viongozi wako wanamjuwa mungu
Mungu huwa wanamjuwa na kumkumbuka siku zao zikikaribia
Ndomana wengi huandika vitabu

Ova
 
Tumbili Peter Msigwa alishindwa kihalai kwa tofauti ya kura mbili. Huyo ni bidha yenu iliyonunuliwa kwa $500,000. Siyo nyie chawa mnatumika kiboya tu
kiongozi muandamizi mstaafu wa chadema kanda ya nyasa mchingaji peter msigwa leo amekua tumbili?

kweli?:pedroP:
 
kiongozi muandamizi mstaafu wa chadema kanda ya nyasa mchingaji peter msigwa leo amekua tumbili?

kweli?:pedroP:
Ndiyo, kwani huji tabia ya tumbili au ngedere ni kuruka ruka tu bila malengo maalum.Ila ni bilionea nyie mnaosifia na kuabudu mnasugua bench na kunuka kikwapa.
 
Acha kusifu mungu kinafki
Unafikiri hao viongozi wako wanamjuwa mungu
Mungu huwa wanamjuwa na kumkumbuka siku zao zikikaribia
Ndomana wengi huandika vitabu

Ova
isingekua Neema na Baraka za Mungu nisingalikua hivi nilivyo sasa,

rejea kugombea ubunge kwangu kwa mara ya kwanza nikiwa na laki5 pekee mfukoni, watu waliniona nimachanganyikiwa, kumbe Neema na Baraka za Mungu ndani yangu zilinizunguka, zilikua zinanipa nguvu, zinaniongoza, ninanionyesha njia, zina nirahisishia palipo pagumu na pazito panakua pepesi, zinanipa matumaini nilipojaribu kukata taamaa n.k

hapa nilipo leo ni kwa neema na baraka za Mungu, nisingependa kueleza habari ya mwingine kuhusu Mungu, huo ni ushuhuda wangu kudogo tu alonitendea Mungu maishani mwangu....:BASED:
 
Ndiyo, kwani huji tabia ya tumbili au ngedere ni kuruka ruka tu bila malengo maalum.Ila ni bilionea nyie mnaosifia na kuabudu mnasugua bench na kunuka kikwapa.
kiongozi makini mchapa kazi asie choka wala kua na ubaya na mtu, mkulima, mfugaji, mwalimu na muhuburi kama mimi nisugue bench kweli? :pedroP:

au ninuke kikwapa?:pedroP:
 
Eti huyu nae anagombea jimbo,sijui ni MP wa wapi huko. Ndio maana nchi iko hapa ilipo.
umekasrika hentleman?
na hiyo ni dhamana tu wananchi wamenipatia niwafanyiae kazi za maendeleo, ubaya uko wapi kwani?:pedroP:

magenge ya kihalifu hayawezi kupanga njama za kuvuruga umoja, amani na utulivu wa nchi yetu, yakawafumbiwa macho, lazima yadhibitiwe na kusambaratishwa mara moja...

huruma ya mkuu wa nchi, itafuata baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kijiridhisha kwamba hakuna kitisho cha magenge ya kuhalifu tena kuvuruga amani kwa wananchi.

, kuna ubaya wowote hapo gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
We nae qummah tu! Ushakuwa roboti la CCM no reasoning at all!

Nyie Kuna siku watu wakiamka mtabakwa hadharani pale Nyerere square ama uwanja wa mkapa.

Naishia hapo! Hamjui huku chini " MAMA YAKO" wananchi wanamzungumziaje.
umepanic au ni mihemko tu baada ya kuona ukweli bayana:pulpTRAVOLTA:

ila pia unayaporomosha matusi ya nguvu kwa utaratibu maalimu,
si uongeze bidii gentlemani kama yanakusaidia, ili ifadike zaidi aiseee:pedroP:
 
Ameona aibu au kuna pressure ya Jumuia ya Kimataifa imemsukuka kuwaachia bila masharti.
 
Ameona aibu au kuna pressure ya Jumuia ya Kimataifa imemsukuka kuwaachia bila masharti.
baada ya vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama kujiridhisha pasina shaka, kwamaba, hakuna tena kitisho cha kuhatarisha umoja, utulivu na amani kwa waTanzania kutoka kwa magenge hayo ya kihalifu, huruma na maelekezo ya mkuu wa yalichukua mkondo wake bila masharti yoyote na si vinginevyo:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom