anyway,
kwa maombi yako narekebisha kwaajili yako tu,
ya kwamba utashi wa kisiasa na dhamira njema ya Dr. Samia Suluhu Hassan imewaweka huru viongoz waandamizi wa Chadema na baadhi ya wanachama waliotiwa nguvuni mbeya jana kwa kujaribu kutaka kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
kudhibiti uhalifu haihitaji ridhaa ya wanainchi ni jukumu la jeshi imara la police nchini π