Wapo mpaka ma Askofu. Umewahi kumsikia Askofu Isuja?Kamba hizi.
Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
Hawa ndo wamiliki wa kanisa katoliki dodoma yote. Nilijionea mwenyewe kule. Pia waislam ni wengi sana.Toka nizaliwe cjawah ona mrangi ambaye ni mkristo
Huyu ni wa kwangu niachieni jamani.
May be sababu dodoma napita tu cjawah kuishi... Ila cjawah ona mrangi mkristo... Ni km ilivyo ngumu kumkuta mnyakyusa ambaye ni muislamuHawa ndo wamiliki wa kanisa katoliki dodoma yote. Nilijionea mwenyewe kule. Pia waislam ni wengi sana.
Usije ukawa ni wewe umebadili kidogo tuu hiyo id mpya.Mtoa mada ukaona hilo jina ni zuri kuweka unique 😎😎😡😡😡
Vigezo vyote OK, ila hiki cha uzito kimeninyima mke. Nina 80+.Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Huyu Isuja yupi mkuu. Ni kama namfahamu Isuja alikuwa headmaster shule fulani hivi.Nyumbani kwa Isuja RIP. Napafahamu, nilikuja parokiani enzi za fr. Kachiwire. Nadhani ulikuwa mtoto.
We falla sana asee😂😂😂Msinga ni nkasu URI huu!!?
Uri mlaangi wa hai wewe!!?
Nene meeto ni changaa kuraa arami wewe wa haiii!!?
Kama wewe ni mrangi kweli utakua umenielewa!!
Bibi unachizika sana, sio warangi wote ni weupe, pili huyu dada hajasema yeye mweupe...ondoa ujinga hapa nenda kwa HamasSiku hizi wengi wanaona haya kusema weupe wao ni wa makopo, wanarukia urangi.
Sishangai siku moja kumsikia Jenista Mhagama akisema yeye ni mrangi.
Bibi wewe kamkorogo ka Oman hutumii?Siku hizi wengi wanaona haya kusema weupe wao ni wa makopo, wanarukia urangi.
Sishangai siku moja kumsikia Jenista Mhagama akisema yeye ni mrangi.
NimOhooh
Vijana niwachangie kiasi gani?wife ndio huyu hapa
mshamba_hachekwi
Mzee wa kupambania
@Extrovert
@dronedrake
Asante vigezo vyote nmekidhi alivyo vitaja shida hamna tenaI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Unique heart chonde chonde mama,kwa niaba ya mashemeji toka kiumeni tunaomba ufanye namna ,nitatoa mchango wangu mtakapotupa feedbackNim
Asante vigezo vyote nmekidhi alivyo vitaja shida hamna tena
Natural 100%Bibi wewe kamkorogo ka Oman hutumii?
Jipige kidogo ung'ae.
Nyie ndio wale wale wezi wa kimya kimyaUnique heart chonde chonde mama,kwa niaba ya mashemeji toka kiumeni tunaomba ufanye namna ,nitatoa mchango wangu mtakapotupa feedback
🤣🤣🤣Bibi Leo imekuaje hivoNatural 100%
Sina ujinga huo na wala sijawahi kuusikia kabla ya leo huo "mkorogo wa Oman".