Husband is needed

Husband is needed

Hawa ndo wamiliki wa kanisa katoliki dodoma yote. Nilijionea mwenyewe kule. Pia waislam ni wengi sana.
May be sababu dodoma napita tu cjawah kuishi... Ila cjawah ona mrangi mkristo... Ni km ilivyo ngumu kumkuta mnyakyusa ambaye ni muislamu
 
Siku hizi wengi wanaona haya kusema weupe wao ni wa makopo, wanarukia urangi.

Sishangai siku moja kumsikia Jenista Mhagama akisema yeye ni mrangi.
 
Siku hizi wengi wanaona haya kusema weupe wao ni wa makopo, wanarukia urangi.

Sishangai siku moja kumsikia Jenista Mhagama akisema yeye ni mrangi.
Bibi unachizika sana, sio warangi wote ni weupe, pili huyu dada hajasema yeye mweupe...ondoa ujinga hapa nenda kwa Hamas
 
Siku hizi wengi wanaona haya kusema weupe wao ni wa makopo, wanarukia urangi.

Sishangai siku moja kumsikia Jenista Mhagama akisema yeye ni mrangi.
Bibi wewe kamkorogo ka Oman hutumii?

Jipige kidogo ung'ae.
 
Ohooh

Vijana niwachangie kiasi gani?wife ndio huyu hapa
mshamba_hachekwi
Mzee wa kupambania
@Extrovert

@dronedrake

Nim
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Asante vigezo vyote nmekidhi alivyo vitaja shida hamna tena
 
Back
Top Bottom