Husda za kazini mbaya sana



Kwa nini isiwe rotation anachaguliwa wewe, next time mwingine?
 
Kwanini Mungu akupiganie upate safari peke yako? Unadhani wengine hawana Mungu,ninyi ndio mnaharibu ofisi kwa nepotism za kijinga na maboss wenu,wafanyakazi wenzio wako sawa kukumind ,gawaneni huo mkate
Sasa sio uamuzi wangu mimi naletwa barua au kupigiwa simu ni order iyo
 
Boss wako ni mpuuzi,weka rotation kila mtu apate mkate,huo anaofanya boss wako ni upuuzi
Sasa mkuu sikia ofis nzima mimi pekee ndio nimesomea iko kitu hao wengine wanafanya kaz kwa uzoefu na hawana uelewa na iko ndio nilipo kuja mimi nafanya vile inavyotaka
 
Huo ujinga Kwa hiyo wanakupeleka kisa unawapa lunch
 
""lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya mkoa basi mkuu wa idara analeta jina langu""

Kwanini uchaguliwe wewe tu, kwani wengine hawapo?

Nafikiri keki ya kazini igawiwe usawa kwa watu wotee.

Mwambie mkuu wa kitengo Apunguze upendeleo, hao wengine piA wanahitaji hizo posho.

#YNWA
 
Sio wabobez
 
Mi nakushauri mkuu kila mkoa unaoenda hakikisha unafikia kwa kalumanzila wa mkoa unaweka sawa then unaendelea na mambo za ofisini yani hapo kila wakienda kuharibu kwa mkuu wa idara ni km wanakupigia debe Mwachiluwi ndio aende tu hatutaki mwingine
#Ila mkuu hizi nyingne zote mbwembwe tu mganga mungu tu na hpa ndio pakushikilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…