Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Sawa nitaacha kufanya ivyo sinunui tenaUna kiherehere(samahami sio kwa nia ya kutukana), unaanzaje kuwanunulia lunch we ni boss, punguza kujipendekeza hutaziona hizo unaita husda