Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
20200704_145557.jpg

Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao.

Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280 za kitanzania.

Habari za Chini chini zinasema hii club ni Arsenal, Hushpuppi alitaka kuipiga Arsenal aitoe barabarani ikose hela ya kusajili kwa miaka 5 ishuke daraja😂.

Yeye na genge lake la utapeli la kimataifa wamehusika katika wizi wa mabilioni ya pesa kwa njia ya mtandao.



Mwaka 2018 club ya Italia Lazio ililalamika kuibiwa pesa ya uhamisho kwa Vrjis, basi mwizi alikua Hushpuppi.
20200705_172918.jpg
 
Daaah jamaa na genge lake wanaingia katika kumbukumbu za utapeli wa kimtandao katika karne hii. Hongera zao sana. Miaka ijayo watu kama Habibu Hanga watakuwa wanatiririka tu stori zao. Tunasubiri Hollywood wafanyie movie hii kitu
 
Back
Top Bottom