Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Mbwe za Insta ndio zimemkamatisha mbaya zaidi wanaija wanakwambia jamaa hajawekeza kwao hela nyingi alikuwa anazitumbua huko huko Dubai.Hana akili,ukiwa unafanya mambo kama haya hutakiwi kujianika kama alivyokuwa anafanya. Kula bata ila usianike mtandaoni ili kujifanya influencer. Mimi nilikuwa simfahamu,nilivyoona hii case ikabidi nikachungulie instagram page yake nilishangaa sana. Halafu kila anakokwenda anapost. Lazima FBI wamtilie shaka tu na kuanza kumfuatilia,maana kazi anayofanya ilikuwa haieleweki. Ila bata anazokula sasa ni balaa.