Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Angekuwa Genius,asingekamatwa.
kwani definition ya neno Genius ni ipi? Tukiipitia vizuri definition ya neno genius toka katika Dictionaries za Cambridge na Oxford huko ndo tutaelewa kuwa kama jamaa ni genius au sio.
I don't support criminal activities, ila kama ni kweli kuwa kapiga pesa on the internet kihivo basi he is that great and probably a Genius.

tupite Online/Google huko kutafuta definition and meaning of the word "Genius" toka Cambridge na Oxford.
 
Anavuna alichopanda. Other thieves wamekeep low profile ila huyu yeye alijiona Mwamba kujitanua kwa social media
 
Kitu ninachofurahia anawaibia ngozi nyeupe naona Raha kweli wenyewe huwa wanasomba madini yetu Kama hawana akili
 
kwani definition ya neno Genius ni ipi? Tukiipitia vizuri definition ya neno genius toka katika Dictionaries za Cambridge na Oxford huko ndo tutaelewa kuwa kama jamaa ni genius au sio.
I don't support criminal activities, ila kama ni kweli kuwa kapiga pesa on the internet kihivo basi he is that great and probably a Genius.

tupite Online/Google huko kutafuta definition and meaning of the word "Genius" toka Cambridge na Oxford.
U Genius ungekamilika kama angejilinda ili asikamatwe. Yaani anawaoversmart aliowaibia ili isijulikane wameibiwa na nani ?Hapo kweli ningemuita Genius.
 
Back
Top Bottom