Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hakuna timu ya kuitwa lazio roma bali hizo ni timu mbili tofauti ndugu vipi hubetigi nini
Lazio roma ipo kama unabisha endelea kubisha,hiyo timu mmezoea kuiita lazio lakini huitwa hivyo lazio roma ukiona bado una hamu ya kubisha elekea google alafu jibu utakalopata kaa kimya usirudi humu
 
Hakuna timu ya kuitwa lazio roma bali hizo ni timu mbili tofauti ndugu vipi hubetigi nini
Lazio Roma na AS Roma ni timu zinazotokea Jijini Roma..Hivyo mleta mada yupo right 100% wewe ulikariri .ni sawa na FC Barcelona na Espanyol Barcelona
 
Lazio Roma na AS Roma ni timu zinazotokea Jijini Roma..Hivyo mleta mada yupo right 100% wewe ulikariri .ni sawa na FC Barcelona na Espanyol Barcelona
Asante kwa kupigilia msumali kabisa juu ya hili,sababu roma ni jiji sasa nashangaa analeta ubishi
 
Hakuna timu ya kuitwa lazio roma bali hizo ni timu mbili tofauti ndugu vipi hubetigi nini
Mkuu una bet lakini hujui chochote.
Jamaa kapatia inaitwa lazio roma ndio jina lake ila huwa wanafupisha wanaiita lazio.
Kuna lazio Roma na AS Roma hizo ni timu mbili tofauti ila zinatoka jiji moja.
 
Rome- English
Roma- Italian....no error!
Asante kwa nyongeza mkuu.Ila inaonekana kama kiitaliano hakina nguvu maana nchi yao inaitwa Italia ila tunaitambua kama Italy. Vivyohivyo Roma na Rome.Kiingereza kimekifunika Kiitaliano.
 
Hakuna timu ya kuitwa lazio roma bali hizo ni timu mbili tofauti ndugu vipi hubetigi nini
Mkuu juzi tu hapa tumekukalibisha na nikwambia kuwa.
JF kuna watu hawajui ila wanajifanya wanajua, kumbe na wewe umo.
Karibu mkuu..naona ushakuwa mwenyeji.
 
Lazio Roma na AS Roma ni timu zinazotokea Jijini Roma..Hivyo mleta mada yupo right 100% wewe ulikariri .ni sawa na FC Barcelona na Espanyol Barcelona
Acha kuzingua basi, ina maana ni sawa kusema timu ya simba Dar es salaam au timu ya Namungo Lindi? kisa zinatokea mikoa hyo?
 
Acha kuzingua basi, ina maana ni sawa kusema timu ya simba Dar es salaam au timu ya Namungo Lindi? kisa zinatokea mikoa hyo?
Acha ubishi wa kipuuzi,roma ni jiji zinazotokea hizo timu na zote zinatumia hilo jina yaani As Roma na Lazio Roma
 
Daaah jamaa na genge lake wanaingia katika kumbukumbu za utapeli wa kimtandao katika karne hii. Hongera zao sana. Miaka ijayo watu kama Habibu Hanga watakuwa wanatiririka tu stori zao. Tunasubiri Hollywood wafanyie movie hii kitu
Na sasa ndio tutamsahau maisha,ngoja akakutane na Wamexico wauza madawa huko kwenye magereza ya Marekani, muda si mrefu ataolewa tu huko gerezani
 
Acha ubishi wa kipuuzi,roma ni jiji zinazotokea hizo timu na zote zinatumia hilo jina yaani As Roma na Lazio Roma
Acha uongo Hakuna document yoyote a timu ya Lazio inaonesha timu inaitwa Lazio Roma kilaza wewe.

IMG_20200709_092454.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2020-07-09-09-23-16-04.jpeg
    Screenshot_2020-07-09-09-23-16-04.jpeg
    25 KB · Views: 5
Back
Top Bottom