Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Ahsanteee hiyo ndiyo point mzee baba, mwanaume bila hela hata inzi zitakufuata, asilia yetu wanaume ni kupambana tupate pesa vyovyote itakavyokua iwe halali au siohalali, akili ya mwanaume ni zaidi ya mwanamke tumeumbwa kuwa wabunifu na kujiongeza,
bila hivyo mkuu tutaendelea kukalisha mapumbu yetu wanaume na kufurahia wanaume wengine wenye fwedha wameshikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachezea sn life jamaa.....hahahaa......Ila wanaijeria ni makanjanja sn ndio maana hapo bondeni na hata China hawataki kabisa kuwasikia ....m
 
8
kwa hiyo utafananisha na jela za TANZANIA? kulala kwa mchongoma(unalala mwenzako kakuwekea miguu uson, ole wako uitoe) chakula kibovu unga umechanganywa na magunzi)mboga ndio usiseme kama unakunywa maji, kukalishwa juani uchi unainama kukaguliwa matako kubakwa au kuuwawa kuko jela zote duniani kumbuka wanaoenda uko ni wahalifu, hata huku bongo gerezan watu wanapigana sana na kuuana, sema haitangazwi, tuliowahi kwenda huko tunaelewa,

Mkuu, kukaguliwa matako ni jela zote asikudanganye mtu. Mimi nazijua jela za kibongo, hakuna mtu anayebakwa kule, watu wengi wanaobanduliwa kule sio wavumilivu kwenye matatizo. Sega dance ukitaka kula na kulala vizuri lazima upumuliwe. Wenyewe wanawajua watu wao. Wana mtindo wao wanasema wanawalegeza, yaani wanawaweka kwenye mazingira magumu mpaka wanaachia. Jela ya kibongo ukijifanya mbabe usumbue wengine utakiona cha mtema kuni. Magereza wetu hawana heko, wanaweza kukutia kilema.
Lakini Unyamwezini jela ni mistake kubwa sana. Tafuta documentaries uangalie mkuu, lazima uwe Mtakatifu.
 
Eti amekaa tu na anatepeli acha hizo bob mtu katumia akili sana kutapeli pesa mingi hivyo, mbona usijaribu basi maana hata kamchezo ka tuma kwa namba hii ni utapeli ambao hata mtoto mdogo anaustukia wanaoliwa kwa hilo nao viazi, ilq jamaa katumia akili nyingi sana
Akatumie akili na huko korokoroni.
 
Sasa hivi anaenda kwenye zile jela za marekani watu wamepinda anaenda na sura yake ya scrub na facial wakamle makalio msengerema yule.
Acha uwoga ...anaweka good lawyers anatoka ..watu wanauwa na jela wanatoka
 
Sema jamaa kidume sana, cha msingi upate mkwanja legally or illegally it doesn't matter, as long unatumia akili zako but play smart

Hapo kwenye ku play smart ndio jamaa amefeli na ndio maana tunamtoa kwenye kundi la wanaume wenye akili. We huwezi kuwa na akili, upige mamilioni ya pesa halafu uanze kujitapa mitandaoni na kuonyesha magari, nyumba na nguo kama kina poshyqueen au wolper! Hizo ni akili za wapi?? Huyu jamaa hana tofauti na wale mburulaz walioiba hapo NBC wakaenda kununua ist 5, noah 8, majumba nk mwisho wakakamatiwa mbagala!
 
Kuna wengine pia wamefanya wizi kama huo wa NBC,this time around wameiba za NMB na wamedakwa kigoma wakiwa wamenunua PowerTiller na Tv ya Sundar
 
Lakini mahakama hamjamdhibitisha kwa makosa hayo. Kwa hiyo nyie maskini mnaomchukia msela, wekeni akiba ya maneno
 
Hapo kwenye ku play smart ndio jamaa amefeli na ndio maana tunamtoa kwenye kundi la wanaume wenye akili. We huwezi kuwa na akili, upige mamilioni ya pesa halafu uanze kujitapa mitandaoni na kuonyesha magari, nyumba na nguo kama kina poshyqueen au wolper! Hizo ni akili za wapi?? Huyu jamaa hana tofauti na wale mburulaz walioiba hapo NBC wakaenda kununua ist 5, noah 8, majumba nk mwisho wakakamatiwa mbagala!
Kama anawapiga mitandaoni bila kufanya show off huko mtandaoni atawaingizaje mkenge , hapa duniani only the strongest will survive,.. Akili yako tu ndiyo itafanya uishi maisha uyatakayo
 
Back
Top Bottom