Acha kubisha ujinga kasome kitabu kinaitwa THE Macho man behind the bars.we movie zinakudanganya, jela za marekani ni sawa na ulaya tu, mahitaji yote muhimu, chakula kizuri, mahali pa kulala safi, usalama upi sijui unauzungumzia wewe maana kule wanajali haki zote za binadamu, ndio maana black america kwenda jela kwao ni kitu cha kawaida. wanaingia na kutoka kila siku