Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Angalia mama yako wanaume anaopenda kutembea nao, ndio caliber yangu. Kama anapenda masikini wa kutupwa basi mimi ni masikini wa kutupwa, kama anapenda wenye hela basi nina hela za kutosha.
sababu wewe ni maskini na huna lolote unalofanya hapo ndicho unachoweza kujisifia ..ngono..pole sana fukara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole masikini ....kuliko kujitapa ngono na matusi bora uendelee na kazi yako ya kuchimba makaburi, angalau itakusitiri mjini hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga kama wewe utapenda ngono wapi na wapi? Ni mwanaume kamili tu ndio anapenda ngono.

Sasa unajitetea hapa eti wanaopenda ngono ni watu masikini, sababu ni moja tu wewe ni shoga.

Niwe masikini lakini ndie namtindua mama yako.
 
Hawa ndio wanatakiwa washughulikiwe watu wanatafuta pesa kwa jasho wao kazi kukaa tu na kutapeli
Eti amekaa tu na anatepeli acha hizo bob mtu katumia akili sana kutapeli pesa mingi hivyo, mbona usijaribu basi maana hata kamchezo ka tuma kwa namba hii ni utapeli ambao hata mtoto mdogo anaustukia wanaoliwa kwa hilo nao viazi, ilq jamaa katumia akili nyingi sana
 
View attachment 1497386
Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao.

Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280 za kitanzania.

Habari za Chini chini zinasema hii club ni Arsenal, Hushpuppi alitaka kuipiga Arsenal aitoe barabarani ikose hela ya kusajili kwa miaka 5 ishuke daraja[emoji23].

Yeye na genge lake la utapeli la kimataifa wamehusika katika wizi wa mabilioni ya pesa kwa njia ya mtandao.

Mwaka 2018 club ya Italia Lazio ililalamika kuibiwa pesa ya uhamisho kwa Vrjis, basi mwizi alikua Hushpuppi.
View attachment 1498408
Sema jamaa kidume sana, cha msingi upate mkwanja legally or illegally it doesn't matter, as long unatumia akili zako but play smart
 
Watu wanakula maisha wee kaa nyuma ya keyboard muombee mabaya [emoji23][emoji23][emoji23] dua la kuku...
shangaa na wewe mkuu...

wanamchekelea bilionea? huyo atatoka siku si nyingi, tena kwa makubaliano maalum, wanadhani kumfunga bilionea ni kama kumfunga mwizi wa kuku au kapuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema jamaa kidume sana, cha msingi upate mkwanja legally or illegally it doesn't matter, as long unatumia akili zako but play smart
fahari ya mwnaaume ni kupata hela au kupiga hela ya maana, sio hela mbuzi, sio kukalisha kalio kijiweni kumcheka mwanaume ambaye alikua ana hustle kutafuta pesa kwa njia yoyote.. sema tu alifanya mistake kidogo, watu wa interpol ndio kazi yao hua wanakesha kwenye mitandao humo kuangalia flani mbona anajionyesha hivi kua na hela nyingi, wanaanza kukufuatilia , unatakiwa ukipiga hela unaenda visiwani huko kimyaaaa unajenga mjumba wako huko au unanunua kisiwa unatulia na manzi yako..yani uishi kama ghost, kama vile mtu aliyekufa ila uko hai..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna wanachohamasisha zaid ya kuwafundisha vijana wawe wezi na majambazi.
Hivi unadhani kijana wa kawaida anaweza kuja kununua range rover kwa biashara gani au ajira gani?
Mwisho wa siku wanakuja kuwa wauza unga
Kuna maisha fake sana mtandaoni, sema yana inspiration ndani yake, hatuwezi ku post umasikini wetu tuna post utajiri hata kama ni fake

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
fahari ya mwnaaume ni kupata hela au kupiga hela ya maana, sio hela mbuzi, sio kukalisha kalio kijiweni kumcheka mwanaume ambaye alikua ana hustle kutafuta pesa kwa njia yoyote.. sema tu alifanya mistake kidogo, watu wa interpol ndio kazi yao hua wanakesha kwenye mitandao humo kuangalia flani mbona anajionyesha hivi kua na hela nyingi, wanaanza kukufuatilia , unatakiwa ukipiga hela unaenda visiwani huko kimyaaaa unajenga mjumba wako huko au unanunua kisiwa unatulia na manzi yako..yani uishi kama ghost, kama vile mtu aliyekufa ila uko hai..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteee hiyo ndiyo point mzee baba, mwanaume bila hela hata inzi zitakufuata, asilia yetu wanaume ni kupambana tupate pesa vyovyote itakavyokua iwe halali au siohalali, akili ya mwanaume ni zaidi ya mwanamke tumeumbwa kuwa wabunifu na kujiongeza,
 
Back
Top Bottom