Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Kafanye forex ndio utoboe. Tajiri yupi unamfahamu wewe alitoboa kwa kucheza bahati nasibu au kamari na iko kwenye rekodi kabisa kua huyu alitoka sababu ya bahati nasibu
Unamfahamu huyu?
 
Za Mwizi Ni 40
Yametimia Yaliyonenwa Na Wahenga
 
Walikuwa wakimchunguza long time tu.


Hana akili,ukiwa unafanya mambo kama haya hutakiwi kujianika kama alivyokuwa anafanya. Kula bata ila usianike mtandaoni ili kujifanya influencer. Mimi nilikuwa simfahamu,nilivyoona hii case ikabidi nikachungulie instagram page yake nilishangaa sana. Halafu kila anakokwenda anapost. Lazima FBI wamtilie shaka tu na kuanza kumfuatilia,maana kazi anayofanya ilikuwa haieleweki. Ila bata anazokula sasa ni balaa.
 
Back
Top Bottom