Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Akili kubwa hizo,

Tatizo la muafrika bana, hata awe jiniaz kiasi gani kuna kale ka ushamba fulani ka kupenda sana show off huwa hakamtoki! Yaani jamaa linapiga mamilioni ya $$ lakini kutwa kushinda mitandaoni likijionyesha kama mamburulaz wengine. Nasikia hata walioenda kumkamata hawajapata shida maana kila alipo anapost jamaa wamemfuatilia kwa post zake mpaka wamemkamata kiulaini kabisa..
 
Unashindwa kumfanya baba yako kuwa role model wako kwa kulima shamba la hekari 1000 kwa jembe la mkono huko kwenu Namtumbo unamkubali tapeli.


Kweli hiki kizazi kina laana.
Mnakuonea kweli Namtumbo,

Sent
 
Ondoa mawazo kwamba nadanganywa na movie kwasababu mimi naishi huku kwa nusu ya maisha yangu kwa sasa. Mimi nakushauri tu, usisikilize story za vijiweni. Jela za Marekani si salama kabisa, ni kitu cha kawaida watu kubakwa au kuuawawa. Usiongee vitu usivyovijua mkuu, nakushauri fanya research kabla ya kuniquote tena.
kwa hiyo utafananisha na jela za TANZANIA? kulala kwa mchongoma(unalala mwenzako kakuwekea miguu uson, ole wako uitoe) chakula kibovu unga umechanganywa na magunzi)mboga ndio usiseme kama unakunywa maji, kukalishwa juani uchi unainama kukaguliwa matako kubakwa au kuuwawa kuko jela zote duniani kumbuka wanaoenda uko ni wahalifu, hata huku bongo gerezan watu wanapigana sana na kuuana, sema haitangazwi, tuliowahi kwenda huko tunaelewa,
 
ni sawa tu, ila ndio masikini mlivyo mnajitapa ngono, na kufurahia matajiri wakianguka ..hivyo sina pasi na shaka wewe ni masikini wa kutupwa fukara wa kiwango cha lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mama yako wanaume anaopenda kutembea nao, ndio caliber yangu. Kama anapenda masikini wa kutupwa basi mimi ni masikini wa kutupwa, kama anapenda wenye hela basi nina hela za kutosha.
 
wewe haukubali wanaume wengine ...huna akili mbuzi wewe..hata mbuzi wana akili... uhuru wa kumkubali mtu mwingine inaingiliana vipi na baba yake kumzalisha inaingiliana vipi na kulima kwa jembe la mkono, inaingiliana vipi na upendo wake kwa baba yake mzazi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikukubali wewe unanipa mqumdu?
 
Back
Top Bottom