Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Kuna jamaa hadi walimuuliza
Hizo logo zote unajibandika wanakulipa wenye makampuni yao?
Manake jamaa alikuwa anatangaza Gucci na logo zingine utasemwa analipwa.. Nigerians washamba sana
 
mimi huwa napita insta kwenye site zao africanmillionaires[emoji16][emoji16][emoji16].

naamini hawa jamaa huwa wana mmotivate hata the boss himself MO,kwa life wanaloishi[emoji23][emoji23]
 
Una uhakika hawakupewa uchawi hao wabongo?, Kuna wabibi wakizungu hupigwagwa hadi dola laki 4, Hicho ni kiasi kikubwa sana hata kwa ulaya.
Hapana maana aliyewafundisha namjua kabisa.. yah ndiyo hao hao wale ambao mwaka jana wamempiga mama wa kibrazil karibia billion kwa kuuuzia dhahabu fake akawapeleka polisi kama hiyo case unaikumbuka walionyesha kwenye TV.
Hawa watu wanacheza na saiklojia na tamaa zako. Mfano kuna kitu wanaitaa kuflash mtu mwenye tamaa akiflashiwa lazima apigwe
 
Yeah naikumbuka hiyo issue.
 
Huyo jamaa walikuwa wanamlia timing kitambo tu,maana ana utajiri wa usd 10 lakini haieleweki chanzo chake ni nini haswaaa..toka alivyoondoka thailand kawa na mkwanja wa ajab
 
sio wachawi ni maneno tu ya watu. hirizi mbona hata wabongo mnazo hirizi miili yenu mizima tena wabongo ndio tunaongoza, pia biashara mbovu hata sisi wabongo tunafanya pia tena na zaidi

Huwajui wanaigeria vzur , ebu ulizia binam[emoji16]
 
MApunga mna lugha chafu sana. Laanatullah
 
Huyo husshppi ndo nimeona leo niingie page yake instagram nijionee. Watu wanajua kuishi aisee watu wanakula rahaaa japo muda mfupi una injoyyyyyyy kabla hayajasanuka kama yalivyomsanukia.
 
Hivi kupata nafasi ya kumvua chupi mtoto mzuri huddah the boss chick ni kiasi gani?

Yule mtoto nataka nimchukulie mkopo finca. Kwani pesa kitu gani?

Dollar 3,000 au TZS 7,000,000 anavua chupi?

Mtoto kama yule ukimla hata ukifa you die with dignity.
 

Ikija kwenye papuchi ya warembo wazuri unatakiwa tumia kila shillingi uliyonayo...
 


Yaani unatakiwa kuishi simple kabisa kama vile huna hela kumbe unazo nyingi tuu zipo kwenye maguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…