The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kuna jamaa hadi walimuulizaYani mamilioni yote halafu unavaa marangirangi kama Elephant Man?
No wonder wanakamatwa.
Kuiba kunaweza kuwa si kugumu kama kuficha hela ya wizi.
Kuna kinyegenyege fulani hivi cha kujionesha unazo.
Kupost picha social media.
Na hapo ndipo wanapodakwa.
Ma Mafia wa kweli hata ukiwaona huwezi kujua, na wamepiga hela ndefu sana.
Hizo logo zote unajibandika wanakulipa wenye makampuni yao?
Manake jamaa alikuwa anatangaza Gucci na logo zingine utasemwa analipwa.. Nigerians washamba sana