Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Ujumbe kwa vijana

Acheni tamaa

Get your wealth legally
 
Hawa jamaa huwa ni washamba sana

Ova
 
Kuna mmoja alikamatwaga sinza jirani na kwa mama ngoma hospital aliwapiga watu mtandaoni
Jamaa alichezea sana vitasa kutoka kwa raia
Jamaa alikutwa Ndani yuko na bebez tu
Ana mipombe, bangi.... Etc
Wazee ndy walikuja kumuokoa
Kichwani kajipaka mirangi rangi tu Ila kipigo alikipata

Ova
 
We acha tu , mpaka unajiuliza kama watu Duniani wanakula raha hivi Uko mbinguni (kama kupo) Sijui itakuaje, jamaa kaishi maisha bwana
Acha kabisaa ngoja tutaona tukikutana huko mbinguni kama tutaenda anyway😃😃
 
Mkuu kwa pesa hyo unatafuna Cherokee D Ass. Itunze akija Africa takushtua
 
ndo hapo sasa, ndio mana mimi siku zote huwa nawakubali wahindi, hata awe baka vipi lazima atakuzugeni tena mzugike.
Yes, ndio wanachofanya sana hapa bongo. Unaweza wagundua kwenye maeneo wanayoweka pesa zao, mfano kwenye football.

Ukweli ni kuwa hakuna faida wanayopata, ila lengo kuu ni kusafaisha pesa zao.
 
Weeeee mpwa ina maan hadi kigori mwenzangu Bob Risky kavoba hela za mjuba + kuhunumuka mkunyenge?, Mweeeeeeeeeh hatareee San lol
Nimekuwa nkijiuliza sana kila siku huyu mtu ni wa aina gani maana kipindi anaingia alijitambilisha kama Me
Umeona siku hizi watu wanasahau kwamba wewe ni punga wanafikiri ni manzi leo umeona utumie fursa kutukumbusha.
Hatimae mkuu umenipa jibu la maswali yangu maana lol zilikuwa haziishi na udemu udemu ndani yake
 
Nimekuwa nkijiuliza sana kila siku huyu mtu ni wa aina gani maana kipindi anaingia alijitambilisha kama MeHatimae mkuu umenipa jibu la maswali yangu maana lol zilikuwa haziishi na udemu udemu ndani yake
Relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…