Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ujumbe kwa vijanaScandal na Habari inayotambaa kwa kasi kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii huko Nigeria, ni issue ya Billionare kutoka Nigeria, Hushpuppi pamoja na wenzie kukamatwa nchini Dubai kwenye apartment ya Pallazo Versace usiku wa kuamkia leo akiwa na wenzie kwa kesi ya money laundering na online scamming .
Habari hiyo imepelekea baadhi ya watu wake wa karibu kum-unfollow Billionaire huyo mwenye pesa chafu hili kuepuka kuunganishwa moja kwa moja na mtuhumiwa huyo kutokana na ukaribu na hushpuppi.
Moja ya watu wanaoshutumiwa kum-unfollow Billionaire huyo ni mwanamuziki Davido ambaye inasadakiwa ni mtu wake wa karibu sana na Billionaire huyo, hivyo kuzuia tetesi huenda staa huyo na yeye alikwua kwenye channel moja na Billionaire huyo.
Mmhm kama nawaona wanazengo wanavyotamani davido awe connected na hii scandal na yeye akamatwe, lol
View attachment 1474349
View attachment 1474350
Acheni tamaa
Get your wealth legally