Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Scandal na Habari inayotambaa kwa kasi kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii huko Nigeria, ni issue ya Billionare kutoka Nigeria, Hushpuppi pamoja na wenzie kukamatwa nchini Dubai kwenye apartment ya Pallazo Versace usiku wa kuamkia leo akiwa na wenzie kwa kesi ya money laundering na online scamming .

Habari hiyo imepelekea baadhi ya watu wake wa karibu kum-unfollow Billionaire huyo mwenye pesa chafu hili kuepuka kuunganishwa moja kwa moja na mtuhumiwa huyo kutokana na ukaribu na hushpuppi.

Moja ya watu wanaoshutumiwa kum-unfollow Billionaire huyo ni mwanamuziki Davido ambaye inasadakiwa ni mtu wake wa karibu sana na Billionaire huyo, hivyo kuzuia tetesi huenda staa huyo na yeye alikwua kwenye channel moja na Billionaire huyo.

Mmhm kama nawaona wanazengo wanavyotamani davido awe connected na hii scandal na yeye akamatwe, lol

View attachment 1474349
View attachment 1474350
Ujumbe kwa vijana

Acheni tamaa

Get your wealth legally
 
Yani mamilioni yote halafu unavaa marangirangi kama Elephant Man?

No wonder wanakamatwa.

Kuiba kunaweza kuwa si kugumu kama kuficha hela ya wizi.

Kuna kinyegenyege fulani hivi cha kujionesha unazo.

Kupost picha social media.

Na hapo ndipo wanapodakwa.

Ma Mafia wa kweli hata ukiwaona huwezi kujua, na wamepiga hela ndefu sana.
Hawa jamaa huwa ni washamba sana

Ova
 
Yahooo Boys . Kuna mnaija nilikuwa ninaishi naye apartment flani maeneo ya makumbusho. Jamaa alikuwa anaweza kaa ndani hata mwezi akitoka labda anaenda dukani na kurudi, ila siku akimaliza mision yake anaenda showroom anachukua na ndinga ya maana kabisa anakula bata wee.
Kuna mmoja alikamatwaga sinza jirani na kwa mama ngoma hospital aliwapiga watu mtandaoni
Jamaa alichezea sana vitasa kutoka kwa raia
Jamaa alikutwa Ndani yuko na bebez tu
Ana mipombe, bangi.... Etc
Wazee ndy walikuja kumuokoa
Kichwani kajipaka mirangi rangi tu Ila kipigo alikipata

Ova
 
We acha tu , mpaka unajiuliza kama watu Duniani wanakula raha hivi Uko mbinguni (kama kupo) Sijui itakuaje, jamaa kaishi maisha bwana
Acha kabisaa ngoja tutaona tukikutana huko mbinguni kama tutaenda anyway😃😃
 
Mkuu kwa pesa hyo unatafuna Cherokee D Ass. Itunze akija Africa takushtua
Hivi kupata nafasi ya kumvua chupi mtoto mzuri huddah the boss chick ni kiasi gani?

Yule mtoto nataka nimchukukie mkopo finca. Kwani pesa kitu gani?

Dollar 3,000 au TZS 7,000,000 anavua chupi?

Mtoto kama yule ukimla hata ukifa you die with dignity.
 
ndo hapo sasa, ndio mana mimi siku zote huwa nawakubali wahindi, hata awe baka vipi lazima atakuzugeni tena mzugike.
Yes, ndio wanachofanya sana hapa bongo. Unaweza wagundua kwenye maeneo wanayoweka pesa zao, mfano kwenye football.

Ukweli ni kuwa hakuna faida wanayopata, ila lengo kuu ni kusafaisha pesa zao.
 
Weeeee mpwa ina maan hadi kigori mwenzangu Bob Risky kavoba hela za mjuba + kuhunumuka mkunyenge?, Mweeeeeeeeeh hatareee San lol
Nimekuwa nkijiuliza sana kila siku huyu mtu ni wa aina gani maana kipindi anaingia alijitambilisha kama Me
Umeona siku hizi watu wanasahau kwamba wewe ni punga wanafikiri ni manzi leo umeona utumie fursa kutukumbusha.
Hatimae mkuu umenipa jibu la maswali yangu maana lol zilikuwa haziishi na udemu udemu ndani yake
 
Nimekuwa nkijiuliza sana kila siku huyu mtu ni wa aina gani maana kipindi anaingia alijitambilisha kama MeHatimae mkuu umenipa jibu la maswali yangu maana lol zilikuwa haziishi na udemu udemu ndani yake
Relax
 
Back
Top Bottom