Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

Wanaonesha CCM ilivyo...wameyafanya sana kwa wapinzani Sasa wanaanza kukulana wenyewe........
 
Kama ni hivyo basi , tutajitegemea sisi na tusione mwana TRA yoyote kuja kutaka kodi shenztype.🚮
 
SA
Kiburi cha mfalme JUHA.
 
Hawa wapuuzi ndio watekelezaji wa 4R za Rais Samia. Mbwa kabisa hawa.. Yaani wana taka waabudiwe. Yeye ni nani hata asi ambiwe ujinga wake?
 
Kwa namna yoyote kauli ya Bashe sio sahihi ameteleza aombe radhi na asahihishe. Kama asipofanya hivyo hiyo itachukuliwa ni kauli rasmi ya serikali ya CCM.
Kazi ya mbunge sio kupeleka huduma kwa wananchi bali ni kuisimamia serikali itekeleze wajibu wake. Sasa kama waziri anaona mbunge hayuko sahihi sio kutokupeleka huduma maana nijukumu la serikali na kama serikali au yeye waziri kashindwa anaachia ngazi mwingine atafanya kazi hiyo kwa usahihi.
Kodi ukusanye wewe serikali na mshahara ulipwe na kazi ukatae kufanya kwa hao walipa kodi inashangaza sana.
 

Hawa ndio viongozi wa Umma.

Hawajui nini cha kuongea na wapi pa kuongea.

Wanaamini kabisa kupeleka huduma ni baraka zao, that is very stupid ! Anasahau kwamba every cent anayopokea ni kodi za wananchi, halafu kuna mtaalam Mmoja anakuambia CCM haina mbadala.

Huyu ni waziri, high level of management na still anatoa kauli kama hizo. Waziri ana vettîng ambayo ni comprehensive, Waziri anakiapo cha utumishi bora, waziri ànakiapo cha maadili na utawala bora, waziri anakiapo cha siri, yet anasimama na mdomo wake mpana kama shimo la choo kutoa matamko ya kuigawa nchi, this is another failure chini ya Samia.

Narudia tena, adui wa TZ sio ujinga wala maradhi, adui wa Tz ni CCM , kwa viongozi Kama hao, CCM haiwezi kuja kupindua buswati la umasikini Tanzania,

CCM aka Chama cha Majambazi must go
 
Huu ndio Ukichaa wenyewe; hakuna zaidi ya hapa.

Muda umewadia sasa, hawa watu wakae pembeni. Hapana, siyo kukaa pembeni tu; hawa ni lazima walipe maovu wanayo watendea waTanzania.

Huu ndio ulevi wa madaraka, na kujisahau kwamba wao ni watumishi wa wananchi na siyo watawala wa wananchi.

Tanzania sasa imeiva, kupata mabadiliko.
 
Kama kweli ametamka hivyo, na kuna uthibitisho, afunguliwe mashtaka ya kutumia vibaya ofisi ya umma, haraka sana.

Inawezekana kuwa Ni kauli toka Baraza la mawaziri na hao wakulima wasimfuatilie kwani wanaweza kulima Alizeti, Dengu , Choroko na ufuta ambapo watapata wanunuzi wazuri Tu kuliko hao mazurimati wa karne waliojijengea Cartel ya kuwatia umaskini watu wa kanda ya ziwa
 
Rais Dr Samia ampige chini huyu waziri mpuuzi. Anamharibia kwenye sehemu yenye kura za kimkakati sana kwenye uchaguzi. Kanda ya ziwa ndo inaamua kura za urais. Bashe ni mshenzi.
Ikitokea natrmbea uchi !
 
Wasichukue Kodi huko Busega. Hajaanza yeye alianza Magu kwenye kampeni za 2020 kusema mkichagua upinzani sileti maendeleo jimboni kwenu.
Ni kawaida yao.
 
Asante sana Bashe kwa kuwatenganisha wananchi wa Kisesa na serikali yao, tunawahamasisha wananchi hao waunde serikali yao maana Bashe keshafanya uhaini wa waziwazi.
 
Reactions: I M
Jambo ni Moja tu TRA wasionekane Tena busega. Kodi zao akabidhiwe mpina yeye ataona wapi pakuwaletea mahitaji Wana busega
 
This statement is direct a bleach of our constitution....

The minister does not deserve to be in his position even a minute from the moment he spoke this nonsense....

HUSSEIN BASHE MUST GO....!

Yaleyale serikali iilyoyafanya kwa wananchi/Wamasai wa Ngorongoro inataka iyafanye na kwa wananchi wa Kisesa, kukata misaada na huduma za kijamii ktk sekta ya Kilimo...

Hata kama Mpina (Mbunge) alisema hivyo, hayo yanabaki kuwa ni maoni yake tu kama mwananchi na Katiba inampa haki hiyo ya kutoa maoni.....

Yeye Waziri wa serikali anatoa agizo kwa taasisi za serikali au binafsi kutotoa huduma kwa wananchi wa eneo hilo based on someone's personal opinions. Huyu Waziri atakuwa na akili kweli...?
 
Sikiluza hiyo clip vizuri una many unfounded insuanations
Amesema anaenda Kisesa watu wa pale wachague kati ya huduma za serikali au aachiwe Mpima samaki kwa rula Mpina.
 
Sikiluza hiyo clip vizuri una many unfounded insuanations
Amesema anaenda Kisesa watu wa pale wachachague kati ya huduma za serikali au aachiwe Mpima samaki kwa rula Mpina.
Uhuru wa mawazi
 
Kumbe Waziri ana uwezo wa kutoa uhuru Kwa sehemu ya Tanzania, Kwani Kwa maneno hayo inamaanisha Kisesa ijitegeme, na ili ijitegeme, itabidi iwe na mapato zake, matumizi yake na uongozi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…