Pre GE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kule kwao wanajilipua kila siku na kuua mamia ya wanawake na watoto
 
Labda cyo yeye kapigwa juju Ili aropoke hovyo.Hii Dunia Ina Siri nyingi.
 
Bashe bado waziri mpaka dakika hii kwa misingi gani? Mnaona Mungu anavyowaumbua, wanajiropokea wanayoyapanga huko kwa siri.

Kwahiyo nchi hii, ukiwatetea wananchi wewe ni adui wa ccm, adui wa Serikali? Hiyo kauli ya kuwanyima hiduma wananchi hao, kodi ni zetu wenyewe, halafu kimtu cha somalia kitupangie cha kufanya. Wanatuona nyanya mbichi hawa. Bashe must Go...
 

Luka 12:2-4

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana. 3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmeji fungia chumbani, yatatangazwa hadharani.
4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi.
 
Naona kweli TATIZO LA AFYA YA AKILI NI KUBWA🙂
yani mpaka waziri unaongea upuuzi kama huu
Kwamba mpina ndo wananchi
Soma vizuri, kasema anaenda kuongea na wananchi wa Kisesa.......kujua ukweli, sasa tatizo nini hapo?
 
Maneno mengi lakini bado wakulima hali zao ziko vile vile na malalamiko ni yale yale sijui tunapimaje mafanikio katika sekta husika kwenye utekelezaji wa maendeleo ya kweli kwenye kilimo mana bado zaidi ya 70% ya population inategemea Kilimo kwenye maisha yao ya kila siku lakini porojo porojo zimekua nyingi.
 
Amen 🙏
 
Wanànchi wa kisesa wameikosea Nini serikali?
Kwani hawalipi Kodi Kama wengine? Kwani Kodi Yao haiendeshi serikali?
Wasomali especially wakimbizi Wana akili finyu Sana. Wanawaza Vita na visasi vya kiKoo visivyoisha.
Wanavisasi ndo maana vita haviishi nchini kwao
Mbaya zaidi kuna watu wanataka awe Rais bashe ni mtu hatari sana
 
Soma vizuri, kasema anaenda kuongea na wananchi wa Kisesa.......kujua ukweli, sasa tatizo nini hapo?
Bado huwezi kutishia kupeleka huduma kisa matatzo yako ma mbunge
Kwa wananchi ambao WANALIPA KODI AMBAYO INATUMIKA KWENYE BAJETI YA HYO SECTOR
vipi kama wanachi nao wakatishia kutokulipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…