figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima wanapata hasara sana wakati wa kuvuna. Wakati wa kuvuna Mazao yanapotea sana, yanaoza, yanabunguliwa na mengine kumwagika. Sasa analifanyia kazi.
January Makamba ni Mzalendo na Waziri wa Nishati. Anasimamia Umeme Mafuta Gesi nk. Nchi ipo gizani wakati kuna Upepo, Maji, Gesi na Makaa ya ya Mawe.
Mwigulu Nchemba ni waziri wa Fedha na Uchumi na Nchi Alijojo na Ndege zinakamatwa. Prof. Muhongo alisema Tozo haiongezi Uchumi yeye anasema Tozo inaongeza Uchumi.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Nchi corrupt haitozi kodi bali inakimbizana na watu wadogo barabara na kuwaacha watu wenye Migodi vitalu vya uwindaji na Mitandao ya simu