Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Kuna watanzania wengi tu wakifika ulaya wanajitambulisha kama wasomali ili wapate makaratasi. Yaani somali sijui.
 
Kiekweli Tanzania inabidi tufanye mageuzi makubwa Sana nchi irudi default
 
ndo ushaongozwa sasa. utafanyaje. chukulia songea, wale wangoni ni wazulu wa south africa, wanyasa wa ruvuma ni wamalawi, ukienda mbeya kuna wamalawi na wazambia rundo ila ni watanzania, ukienda bukoba kigoma etc huko wamejaa wanyarwanda warundi na waganda. kuna wamasai wengi arusha ambao ni wakenya. nimekwambia wagogo pekee ndio watanzania halisi wengine wote wahamiaji.
Hapa unakosea,hayo makabila unayoyataja kama sio Watanzania Ndo yalikuwa mbele sana kuhakikisha nchi hii haitawaliwi na Wakoloni,Ili Watanganyika tujitawale wenyewe?ni kweli sisi Wangoni tulitokea huko Afrika kusini lkn ni vizazi vya 1800 huko,kuanzia miaka 1900 vizazi vyote vilishiriki mwanzo mwisho kuipambania Hii nchi,na Bado hata kwasasa asili yetu inaonesha ni ya hapahapa Tanganyika na sio huko Kwa Wazulu
 
Bashe anastahili pongezi kubwa sana,Sasa hivi wakulima hawana neno lolote,kaupiga mwingi sana kwenye kilimo
Wakulima hawana neno? Ngoja nitoe Machozi hapa
Hivi unajua watu wanalia sana na mbolea za ruzuku? Tena imekua.....ngoja niishie hapa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kilimo...kila mwaka tunazuia kuuza chakula nje ikitokea ukame
Kilimo nikazi Kama kazi nyingine mkulima anahitaji kuiona faida yaanachokifanya nakama chakula bei juu kalime chako alijisemea bwana mmoja
 
Back
Top Bottom