Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 90+ ya wakulima Tanzania wanauzia mazao shambani kabla hata hawajavuna huko kupanda kwa bei Leo kunafaida gani kwa mkulima ambaye ameshauza mazao yake yoteAnayemlaumu Bashe kuhusu kupanda kwa Bei za nafaka apuuzwe hajui mziki wa kilimo tuliokulia kwny kilimo na bado tunalima tunajua vizuri acheni wakulima wajipangie Bei waliumia vya kutosha
Hujui kwamba na alipandisha mbolea maradafu kwenye bajeti yake ya kwanza ndo maana nikisema wewe mambo mengi hujui nakua sijakoseaBashe ana kosa gani kwa bei ya chakula kupanda?
Ni msomali Tanzania haiwez ongozwa na mla mirungiwewe unamwita msomali, wakati yeye hapajui somalia au hata akipajua hana pa kuishi kule, wazazi wake wamekuwepo hapa kabla hata ya uhuru, sawa tu na hao wahindi, wangoni na makabila mengine yoote ya tz pembezoni. mtz halisi hapa ni mgogo tu, sisi wengine woote wa kuja. kuna mmoja akawa anasema kinanaa pia ni msomali, wakamuuliza unajua kama ameserve kwenye jeshi la tz hadi kuwa kanali....amepigania tz hadi cheo kikubwa cha nchi.
waswahili wengi tu wabaguzi sana.
Kwani Bashe anauza Mbolea!? Unafahamu hata mataifa yanayocontrol biashara ya mbolea duniani? Huoni anapambania kiwanda cha mbolea kiishe Dodoma.Hujui kwamba na alipandisha mbolea maradafu kwenye bajeti yake ya kwanza ndo maana nikisema wewe mambo mengi hujui nakua sijakosea
Unaona Sasa ndo maana nikasema Kuna mambo mengi hujui na hii inaonyesha bado ni mtoto jaribu hata kufuatilia bungeKwani Bashe anauza Mbolea!? Unafahamu hata mataifa yanayocontrol biashara ya mbolea duniani? Huoni anapambania kiwanda cha mbolea kiishe Dodoma.
We unaamini hilo bunge ambalo ni kama kamati ya chama tu!!!?Unaona Sasa ndo maana nikasema Kuna mambo mengi hujui na hii inaonyesha bado ni mtoto jaribu hata kufuatilia bunge
Narudia Tena kuwa unafuatilia bungeWe unaamini hilo bunge ambalo ni kama kamati ya chama tu!!!?
Lakina Lusinde? Hilo fuatilia mwenyewe kama una kuna mambo ya maanq huwa wanajadili.Narudia Tena kuwa unafuatilia bunge
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
View attachment 2434292
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima wanapata hasara sana wakati wa kuvuna. Wakati wa kuvuna Mazao yanapotea sana, yanaoza, yanabunguliwa na mengine kumwagika. Sasa analifanyia kazi.
View attachment 2434300
January Makamba ni Mzalendo na Waziri wa Nishati. Anasimamia Umeme Mafuta Gesi nk. Nchi ipo gizani wakati kuna Upepo, Maji, Gesi na Makaa ya ya Mawe.
View attachment 2434293
Mwigulu Nchemba ni waziri wa Fedha na Uchumi na Nchi Alijojo na Ndege zinakamatwa. Prof. Muhongo alisema Tozo haiongezi Uchumi yeye anasema Tozo inaongeza Uchumi.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Nchi corrupt haitozi kodi bali inakimbizana na watu wadogo barabara na kuwaacha watu wenye Migodi vitalu vya uwindaji na Mitandao ya simu
View attachment 2434328
Nikikuita mjinga ntakua sijakosea bunge linapitisha budget na bunge hilo hilo unaloliponda na Bashe pia yupo unaemsifiaLakina Lusinde? Hilo fuatilia mwenyewe kama una kuna mambo ya maanq huwa wanajadili.
PM mtarajiwa au sio?Ninamuomba Mhe Bashe abadili jina ili tumuite Rishi Sunak.
Anastahili ni Mzalendo.PM mtarajiwa au sio?
Naunga mkono hojaAnastahili ni Mzalendo.
Wakati wa Nyerere kulikuwa na Mawaziri wenye asili za Asia Wahindi Waarabu kama Salim Ahmed Salim na walikuwa WazalendoNaunga mkono hoja
Naijua familia yao yote na nilikuwa napita kuwasalimia mara kwa mara
Anaamini na anauthubutu na anaweza kijana mdogo mwenye future
Ataweza sana
Ushauri wako ulikuwa upi?Hujui na huwez elewa maumivu watu wanayoyapata kwa kununua vyakula Bei ghali we endelea kumsifia