Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Bashe akiona "Nogwa" inazidi huko CCM ahamie Chadema tunamhitaji sana.
 
kuna watu wanapiga picha wamelegeza madomo yao wanaambukiza hadi watoto wao. watawaambukiza hadi ujinga vichwani mwao, wahovyo sana hawa watu
 
Hakuna mwanasiasa mzalendo na mkweli hata mmoja wote waongo tuu 🚶🚶🚶🚶
 
Watu mnaokaa nyumbani mnashida sana hamjui haya maumivu ya kupanda kwa bei vyakula yaan kula, kukojoa kulala mnashida sana
Mimi nilie shambani najua umuhimu wa Bei kupanda za mazao. Mmezoea kulalia wakulima. Mnazurura mjini mkitaka mpewe jasho la mkulima kwa Bei ya kuokota.
 
Mimi nilie shambani najua umuhimu wa Bei kupanda za mazao. Mmezoea kulalia wakulima. Mnazurura mjini mkitaka mpewe jasho la mkulima kwa Bei ya kuokota.
Mkuu unajua kazi ninayofanya au unadhani ukulima unafanya tu wewe acha ushamba alafu usipende kudharau watu usiowajua unauhakika mim nazurura au nilishakuja kukulilia shida kwa kukusaidia almost 70 ya watanzania ni wakulima acha ushamba na pia ufahamu ukulima ni kazi ya kawaida wala sio hata ya maajabu
 
Ushauri wako ulikuwa upi?
1. Kwamba wakulima serkali itamke mchele sh 1200 kilo?
2. Serkali inunue chakula kwa bei ya juu kwa wakulima na kukiuza bei yq chini kwa walaji?
Unadhani wakulima wanapolima mwisho wauze bei ya kufurahisha walaji bei ya chini kwa kuthibitiwa na serkali ?
Na kwamba kilimo chao ni kuwafurahisha watu au ?
Nani amewahi kulalamika kupanda kwa mishahara ya wafanyakazi. Elewa kilimo ni kazi kama kazi zingine
Ni wapi nimesema kilimo sio kazi kwa taarifa yako wanaonufaika na kilimo nchi hii sio hata wakulima ni madalali na mabwanyenye
 
Mbona Jamaa hasomeshi mtoto shule za Serikali kama wanaona zinakidhi vigezo?
 
Ni wapi nimesema kilimo sio kazi kwa taarifa yako wanaonufaika na kilimo nchi hii sio hata wakulima ni madalali na mabwanyenye
Acha wakulima wauze vile wao wanaona inafaa. Hata china ujamaa haupo. Soko acha lijiendeshe
 
Acha wakulima wauze vile wao wanaona inafaa. Hata china ujamaa haupo. Soko acha lijiendeshe
Wakulima sio wanaopanga Bei Bali madalali ndo wapangaji Bei na moja ya wanufaikaji wakubwa Zaid hata ya wakulima wenyewe
 
Siku ukianza kujitegemea utanielewa bado unakaa kwa Baba huwezi nielewa
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , Mheshimiwa Bashe kawaheshimisha wakulima ,kumbuka Mahindi yalishawahi kukosa soko miaka ya 2015-2020 sasa hivi mamabo saafi sana kwa wakulima , ana kazi moja tuu sasa yakuwadhibiti hawa wanoiba mbolea ya ruzuku ,,,vyombo husika vimpe support kuwadhibiti hao wezi ...
 
Ni msomali Tanzania haiwez ongozwa na mla mirungi
ndo ushaongozwa sasa. utafanyaje. chukulia songea, wale wangoni ni wazulu wa south africa, wanyasa wa ruvuma ni wamalawi, ukienda mbeya kuna wamalawi na wazambia rundo ila ni watanzania, ukienda bukoba kigoma etc huko wamejaa wanyarwanda warundi na waganda. kuna wamasai wengi arusha ambao ni wakenya. nimekwambia wagogo pekee ndio watanzania halisi wengine wote wahamiaji.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , Mheshimiwa Bashe kawaheshimisha wakulima ,kumbuka Mahindi yalishawahi kukosa soko miaka ya 2015-2020 sasa hivi mamabo saafi sana kwa wakulima , ana kazi moja tuu sasa yakuwadhibiti hawa wanoiba mbolea ya ruzuku ,,,vyombo husika vimpe support kuwadhibiti hao wezi ...
Wakulima au madalali na mbwanyenye wakulima walio wengi wauza mazao yao kabla hata hawajavuna mwezi wa Saba na nane huko
 
ndo ushaongozwa sasa. utafanyaje. chukulia songea, wale wangoni ni wazulu wa south africa, wanyasa wa ruvuma ni wamalawi, ukienda mbeya kuna wamalawi na wazambia rundo ila ni watanzania, ukienda bukoba kigoma etc huko wamejaa wanyarwanda warundi na waganda. kuna wamasai wengi arusha ambao ni wakenya. nimekwambia wagogo pekee ndio watanzania halisi wengine wote wahamiaji.
Hao uliowataja ni wabantu sio wala mirungi nchi haiwez ongozwa na mla mirungi
 
Back
Top Bottom