Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Bashe apewe ile nafasi ya Rishi Sunak ya Bongo lakini nafasi ya Uraisi inamfaa Rostam Azizi.
 
nna shida na mawasilino ya huyu jamaa kuna mambo nataka aweke sawa maana kakaaa kimya yanachanganya

1. je wakulima wa tumbaku wananufaika na mbolea ya ruzuku ama hapana

maana halmashauri ya tumbaku hutoa bei za pembejeo za tumbaku, ukiangalia ziko juu sana serikal imeleta za ruzuku je na wakulima hao watanufaika hivyo hivyo ama wataendelea na bei toka halmashauri ya tumbaku
 
Bashe anastahili pongezi kubwa sana,Sasa hivi wakulima hawana neno lolote,kaupiga mwingi sana kwenye kilimo
wakulima wa tumbaku bado wana neno, hawajaambiwa kama watanufaika.na bei za ruzuku ama hapana
 
Bashe hata Uraisi anafaa,ni chapa kazi mwenye mbinu na malengo.
Ccm wamwagalie kwa mtazamo mpana.
Hao wengine wanaotajwa tajwa ni galasha.
 
Inaendaje kwa wakulima hivi unajua anachoongea wakulima wanauza mazao yao yakiwa shambani na kipindi Cha mavuno huwez uza Bei kubwa sababu supply ni kubwa Zaid ya demand

bashe ni moja ya wachuuzi wanaonufaika kwa kupanda Bei ya vyakula Hana uzalendo wowote
Mimi sioni uhusiano wowote mkubwa kati ya kupanda kwa bei ya vyakula na waziri husika. Kinachofanya bei zipande ni factors nyingi au niseme ni sera na ufanisi wa serikali kwa ujumla. Kwa wale tulio na ''macho'' ya ndani, nitakubaliana na thread kuwa Bashe ana nafuu kuliko Makamba au Nchemba. Tatizo kubwa sana la akina Makamba na Nchemba ni kuwa wana tamaa kubwa sana ya kupata urais na wako tayari kufanya lolote ili wawe marais. Halafu mambo mengi wanayofanya ni usanii.
 
Kilimo...kila mwaka tunazuia kuuza chakula nje ikitokea ukame
Kuruhusu kuuza mazao nje siyo jambo baya kama litafanyika kwa mpangilio mzuri ili mkulima na nchi zifaidike. Wanaweza kuweka kodi maalum ambayo itatumika kuwa-subsidies wakulima kwenye vitu kama pembejeo. Pia kama mazao yakinunuliwa kwa utaratibu maalum ni rahisi mkulima kufaidika. Kwa wale waliokulia mikoa wa Kilimanjaro wanajua role ya KNCU kwenye kuboresha maisha ya wakulima wa kahawa Kilimanjaro. Wakulima walikuwa wanauza mazao yao KNCU. KNCU wao walikuwa wanauza nje na kwa wakati muafaka. Faida itakayopatikana inaletwa tena kwa kwa kupewa pembejea na nyongeza ya malipo kwa kila kilo.
 
Bashe hata Uraisi anafaa,ni chapa kazi mwenye mbinu na malengo.
Ccm wamwagalie kwa mtazamo mpana.
Hao wengine wanaotajwa tajwa ni galasha.
Kabisa. Hatutaki mtu anayeongoza ilimradi siku ziende. Tunataka mtu mwenye maono, malengo na anayeyafanyia kazi. Wabantu wengi tunaishi tu tukitegemea mambo yatakuwa mazuri yenyewe.
 
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
View attachment 2434292
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima wanapata hasara sana wakati wa kuvuna. Wakati wa kuvuna Mazao yanapotea sana, yanaoza, yanabunguliwa na mengine kumwagika. Sasa analifanyia kazi.
View attachment 2434300
January Makamba ni Mzalendo na Waziri wa Nishati. Anasimamia Umeme Mafuta Gesi nk. Nchi ipo gizani wakati kuna Upepo, Maji, Gesi na Makaa ya ya Mawe.
View attachment 2434293
Mwigulu Nchemba ni waziri wa Fedha na Uchumi na Nchi Alijojo na Ndege zinakamatwa. Prof. Muhongo alisema Tozo haiongezi Uchumi yeye anasema Tozo inaongeza Uchumi.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Nchi corrupt haitozi kodi bali inakimbizana na watu wadogo barabara na kuwaacha watu wenye Migodi vitalu vya uwindaji na Mitandao ya simu
View attachment 2434328
MBONA HAVAI KAMA HAWA WAZALENDO?
1662300741270.jpg
627149754.jpg
2033840436.jpg
 
Siyo poa. Dogo hana kosa lolote, wala hajui kuwa dingi wake ni mjivuni.
Wote walewale uzawa wanyoka anakuwa akifundishwa mbinu za kuiba,hivi unategemea siku rizmoko akiwa rais atakuwa msafu na sio fisadi tena !??
 
Back
Top Bottom