Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima wanapata hasara sana wakati wa kuvuna. Wakati wa kuvuna Mazao yanapotea sana, yanaoza, yanabunguliwa na mengine kumwagika. Sasa analifanyia kazi.
January Makamba ni Mzalendo na Waziri wa Nishati. Anasimamia Umeme Mafuta Gesi nk. Nchi ipo gizani wakati kuna Upepo, Maji, Gesi na Makaa ya ya Mawe.
Mwigulu Nchemba ni waziri wa Fedha na Uchumi na Nchi Alijojo na Ndege zinakamatwa. Prof. Muhongo alisema Tozo haiongezi Uchumi yeye anasema Tozo inaongeza Uchumi.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Nchi corrupt haitozi kodi bali inakimbizana na watu wadogo barabara na kuwaacha watu wenye Migodi vitalu vya uwindaji na Mitandao ya simu
Siku zote kilichopo kichwani mwa mtu ndicho kinamtambulisha mtu, kama kichwani hakuna kitu kutokana na kauli na matendo yako, hata ukijiita mzalendo vipi ni kazi bure.
Hao wachuuzi na madalali pia ni wa Tanzania, wakipiga hela,itafika kwa wakulima pia. Bei inaanzia kupanda sokoni inaenda kwa madalali kisha kwa wakulima.
Hao wachuuzi na madalali pia ni wa Tanzania, wakipiga hela,itafika kwa wakulima pia. Bei inaanzia kupanda sokoni inaenda kwa madalali kisha kwa wakulima.
Inaendaje kwa wakulima hivi unajua anachoongea wakulima wanauza mazao yao yakiwa shambani na kipindi Cha mavuno huwez uza Bei kubwa sababu supply ni kubwa Zaid ya demand
bashe ni moja ya wachuuzi wanaonufaika kwa kupanda Bei ya vyakula Hana uzalendo wowote
Huyu. Kijana ni Jembe kweli kweli. Tungepata bashe wa 5 kwenye vizara Ambazo zimepata waongeaji badala ya vitendo kama bashe Tanzania ingepiga hatua kubwa sana.
Kama kuna wizara mama Amefeli katika teuzi basi ni wizara ya Fedha, Nishati, na Ardhi. Alichemka kuwatoa wele waliokuwepo. Mbaya zaidi mama Amevaa miwani na masikio kaziba kabisaaaaa jamaa wanazidi kuharibu.