Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

Kuna watanzania wengi tu wakifika ulaya wanajitambulisha kama wasomali ili wapate makaratasi. Yaani somali sijui.
 
Kiekweli Tanzania inabidi tufanye mageuzi makubwa Sana nchi irudi default
 
Hapa unakosea,hayo makabila unayoyataja kama sio Watanzania Ndo yalikuwa mbele sana kuhakikisha nchi hii haitawaliwi na Wakoloni,Ili Watanganyika tujitawale wenyewe?ni kweli sisi Wangoni tulitokea huko Afrika kusini lkn ni vizazi vya 1800 huko,kuanzia miaka 1900 vizazi vyote vilishiriki mwanzo mwisho kuipambania Hii nchi,na Bado hata kwasasa asili yetu inaonesha ni ya hapahapa Tanganyika na sio huko Kwa Wazulu
 
Bashe anastahili pongezi kubwa sana,Sasa hivi wakulima hawana neno lolote,kaupiga mwingi sana kwenye kilimo
Wakulima hawana neno? Ngoja nitoe Machozi hapa
Hivi unajua watu wanalia sana na mbolea za ruzuku? Tena imekua.....ngoja niishie hapa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kilimo...kila mwaka tunazuia kuuza chakula nje ikitokea ukame
Kilimo nikazi Kama kazi nyingine mkulima anahitaji kuiona faida yaanachokifanya nakama chakula bei juu kalime chako alijisemea bwana mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…