Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichosema Bashe
Akizungumzia suala hilo wakati akielezea
Uzinduzi yanaenda mashangingi 15USAID iache kutujengea vyoo pia
Msomali anaenda na upepo![]()
Hussein Bashe, rudi unyooshe maelezo! Umerusha lawama wa NGO.
Muu wa Mkoa wa D'salaam awamu ya tano alilipishwa kodi na kupewa onyo kali kwa kupokea ama kuleta misaada ya madawati kwa niaba ya nchi. Serikali ikatoa tamko zito, kwamba hakuna kiumbe wala taasisi yenye kibali nchi hii cha kupokea chochote kwa niaba ya nchi. Sasa ni toka lini NGO zinaleta au zinapokea misaada ya nchi kwa niaba ya serikali ???????
Kama kuna ruksa basi rudini mkamuombe msamaha Paul Christian Makonda kwa kuleta misaada ya madawati bila serikali kujua kama walivyoruhusiwa hawa NGO wa michele ya virutubisho.
Anaenda na upepo wala hana loloteBashe ameendeshwa na hisia na maoni ya wazalendo uchwara katika hili
Acha upunguani! Umejuaje? Tena huenda angepeleka na mwingine nyumbani kwake. Usipende kukariri maisha, watu hubadilika, hata wewe wa mwaka juzi na wewe wa saivi ni watu wawili tofauti. Usipende kukariri as if magu alikuwa malaikaTena angekuwa uncle Magu viongozi wa hiyo NGO wangekula mboko, wanataka kutuulia kizazi chetu shupavu. Hii nchi ina watu wa hovyo sana, ilitakiwa wapewe masaa kadhaa huo mchele uwe umechomwa na TBS
Watanzania wengi bado ni masikini sana sawa tu na Wapalestina, Wasomalia au Wa-Ukraine walio vitani. Wanauhitaji sana huo msaada wa chakula wa Marekani, sio wanafunzi mashuleni tu, hata mtaani kwako Wamarekani wakija na hiki chakula utaona mafuriko ya watu wakigombania chakula.Kwa uwezo wako wa kufikiria, unadhani tz tunahitaji msaada wa mchele, maharage n mafuta?? Vipi wasomali, palestines, Nigerians, Ukrainians...
Kwa fikra zako kwa stories za kuambiwa, kujisomea n uwezo wako wa kufikiria, unadhani America wana mapenzi hayo kweli ya dhati kwa watz?? Tukirudi kwenye historia, America amewahi kulisaidia taifa gani bila kuwa na agenda yeyote iliyojificha??
Hivi hujui uko Palestine kila kukicha sio chini ya watu 40 wanakufa kwa njaa? Kwanini asipeleke chakula chake kwenye taifa lenye uhitaji anatuletea uku ambapo tunategemewa na mataifa jirani tuwauzie mazao yetu ya ziada? Hatuna maendeleo kama yao, ila wasituone sisi maboya kiasi hiki.
Shida ni vyote, Elimu na umaskini.Sehemu chakula kinapotoka lishe ni duni. Shida ni elimu sio uhaba
Homeless wa kule mbona hawaonei huruma. Chakula bongo kingi sana. Walete hizo pesa tununue kyela wakapewe dodomaKiburi chanini wakati watoto wetu wanaanguka njaa mashuleni huku walimu wakipepesuka kwa njaa??
Wizara ipime kama Mchele hauna shida upelekwe mashuleni, Mchele wenyewe bei ghali shule gani inaweza kununua ikalisha watoto wake???
Waziri anakaa Dar anaamini watuwote tunakula Kila tunapojiskia...huku vijijini kunawatoto hupigwa kipigo kikali kisa kudokoa wali kutokana na njaa kali waliyonayo. Tunakula mlo mmoja tuu labda siku ya bahati ndiyo tule milo miwili.
Msiweke kiburi kisa ninyi mnakula mnashiba na kuvimbiwa, chamuhimu Mchele unaenda liwa shule ambamo hawawezi nunua Mchele wetu ambao bei ni yajuu.
Nilini tutapata viongozi wazalendo wenye akili nzuri na wanaojua nchi yao na watu wake wanavyoumia hasa huku vijijini??
Hopeless leaders kabisa!!
Kuna watu wanaleta uzalendo uchwara tu bila kujua kuna familia kila siku zinalala wakiwa hawajui kesho itaishaje, hata kupata ugali na dagaa au maharage tu ni tatizo.Kiburi chanini wakati watoto wetu wanaanguka njaa mashuleni huku walimu wakipepesuka kwa njaa??
Wizara ipime kama Mchele hauna shida upelekwe mashuleni, Mchele wenyewe bei ghali shule gani inaweza kununua ikalisha watoto wake???
Waziri anakaa Dar anaamini watuwote tunakula Kila tunapojiskia...huku vijijini kunawatoto hupigwa kipigo kikali kisa kudokoa wali kutokana na njaa kali waliyonayo. Tunakula mlo mmoja tuu labda siku ya bahati ndiyo tule milo miwili.
Msiweke kiburi kisa ninyi mnakula mnashiba na kuvimbiwa, chamuhimu Mchele unaenda liwa shule ambamo hawawezi nunua Mchele wetu ambao bei ni yajuu.
Nilini tutapata viongozi wazalendo wenye akili nzuri na wanaojua nchi yao na watu wake wanavyoumia hasa huku vijijini??
Hopeless leaders kabisa!!
Hapo Moshi kuna Kijana wa kiume wa kichagga amebadili jinsia 🐼Asante Wamarekani kwa kulisha wanafunzi wetu mashuleni chakula bora
Mbona hawapeleki drc kwenye vita? Hapo kuna agenda ya siriHomeless wa kule mbona hawaonei huruma. Chakula bongo kingi sana. Walete hizo pesa tununue kyela wakapewe dodoma
Nani kakuambia Homeless wa kule hawaonewei huruma?? Unafahamu chochote kuhusu housing projects?Homeless wa kule mbona hawaonei huruma. Chakula bongo kingi sana. Walete hizo pesa tununue kyela wakapewe dodoma
Marekani ndio mtoa msaada mkubwa zaidi kwa DRC, kwa mwaka anaipa DRC msaada wa zaidi ya dola bilioni 1.Mbona hawapeleki drc kwenye vita? Hapo kuna agenda ya siri